Vatican inamiliki dunia

Marvelous
 

Usidanganywe
 
Wokovu ulikuja Kwa Israeli lkn Kwa Neema ukatufikia nasisi wa Mataifa, hivyo yumefanywa wayahudi katika Roho so hayo yanatuhusu na ndio maana sisi ni waIsrael kwa Roho, hilo sio gazeti ufikiri kimwili tu

Sent using Jamii Forums mobile app


Ndivyo Yesu alivyosema hivyo au unasema wewe? Lete ushahidi wa maneno yako
 
Bado sawa ngoja niendelee kujisomea zaidi
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…