Vatican inamiliki dunia

Vatican inamiliki dunia

In summary form. Wakatoliki walitaka kila mtu aamini ukatoliki namna pekee ilikuwa kwa upanga wa moto. Lakini jesuit waliona kuwa kama katoliki ingeshiriki katika hili baadaye ingekuja kuwa critized. So what, they decided to create part B church (Islam) to accomplish the mission and MUD the jesuit was given the task before he bertrayed and started claiming he received from God. Na kwa kuwa ndicho alichowaaminisha wafuasi wake alikuwa na ukweli wake. But wataalamu wa theology wanasema at end MUD was on his movement back to his origin. UNAAMBIWA.
Hebu kaeni chini mje na hoja moja ya kumhusu MUD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siri imefichuka,kila kilichofichwa kitafichuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi siosiri ndo maana nimeandika vingine ni siri sivijui
hizi ime leak hivyo sio siri tena
siri zipo
Ila ni siri kïasi ambacho hazifahamiki kama ni siri......(According to My belief)
japo kunasiri zinazo fahamika juujuu kama kujua kichwa cha habari tu
habari hujui

Kama Formula ya kutengeneza kokakola (cocacola).
 
Kulikuwa na mfumo unaitwa pope Bill ndo ilianzisha Islam
Jesuit walikuwa bado awajaanza .
Labda walikuja Ku support spread 1557.
Islam ilianzishwa na padre. Aliye mfundisha Muhammad injili.
Wataalamu waulize watakwambia.
Jesuit walikuwa awajaanza Ila Kuna makundi mengi ya Knights.
Miaka ya 600
Pinganeni tu na dhana zenu zinazodhihirisha ufinyu wa kufikiri kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pinganeni tu na dhana zenu zinazodhihirisha ufinyu wa kufikiri kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app


Wewe akili yako ndo finyu kwanza
kwa kuusoma huu uzi unao sema
Unadhihirisha ufinyu wa kufikiri kwetu
umeonyesha wazi
watu wenye ufinyu wa kufikiri
wameweza andiakitu na

  1. Ukafungua
  2. Ukasoma
  3. Uka comment unaonyesha wewe uwezo wako ndo mfinyu mfinyu mfinyu mfinyu kupindukia ningekuona wamaana kama usingeufungua na ungekuwa walau unasoma critical thinking books. Ili uondoe dhana ya wa Afrika hawapendi kusoma vitabu na ukitaka ufiche kitu kwa wa Afrika ficha kwenye vitabu..THANK
 
Tafuta sheikh aliyesoma Islamic History atkwambia Nan alimfundisha Muhamed Injili na Handwriting.
pia huyo padre ndo alimtabiria kuwa atakuwa mtume na mwanzilishi wa dini kubwa
Propaganda za ukafiri ndio zimekuharibu wew eti Jesuit waanzishe uislam.???!!! Hakuna mtu alieanzisha uislam na wala msijikombe kombe hakuna mwenye akili hiyo dunia hiii
 
Propaganda za ukafiri ndio zimekuharibu wew eti Jesuit waanzishe uislam.???!!! Hakuna mtu alieanzisha uislam na wala msijikombe kombe hakuna mwenye akili hiyo dunia hiii
Si kushangai maana simimi nimesema Jesuit tumeanzisha muslim ila nimesema Padre au Monk wa Kanisa katoliki ndo alimfundisha Mudi
Tena nakumsafirisha asiuwawe a
play hapa kama unabisha
 
Cha kushangaza hivi vitu vinapatkana. Africa tu ila ukienda ulaya Hakuna story kama hizi:
Sa sijui tunakwama wapi hapa!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo ...........kabisa hujui we Anikajema .
Cha kushangaza unashangazwa na nn
et hivi vitu vinapatikana Africa tu
hahahaha hizo link za Africa????????
Trump waAfrica????????
Hitler wa Africa??????????
Alberto rivera wa Africaaaa??????
Sikushangai Sikushangai Sikushangai Sikushangai Sikushangai


Ngoja nikudokeze tuu Europe Dini ni kidogo sana na Atheist ni wengi sana tena asilimia kubwa wawenye dini ni 40-60% tuu tena wengi ni RC maana
wanajua madhehebu mengine yote ya kikristo yameanza kama
MAJIMAJI WAR amna ukweli no true.
Ni kwamba wengi bado wanaimani na RC maana uki Trace unaona kiini chake ni Yesu na Petro hata ubishe vipi huo ndo ukweli.
Wengi wa Makanisapesa wameachana nayo nenda makanisa yaki PROTESTANT Namakanisa madogo madogo ya kupiga pesa Ujerumani na Europe utakuta wazee na watoto tena angalau häta watu 10----40
Ila makanisa ya RC wapowengi tena nibaada ya juhudi za
Majesuit kuanzisha Religion dialogue nyingi wanazojua kwa uzoefu wao na elimuzao amna mtu duniani atawashinda kwenye dialogue hizo na nivigumu.Ilawao kuwashinda ni simple ndomaana päpa wasasa Fransis ana penda sana religious dialogues na ana supoort huko Europe.



Sema wazungu sadaka wanakatwa kwenye mishahara yao sema wazungu sadaka wanakatwa kwenye mishahara yao ........
ninavyojua kwa Ujerumani wanakatwa asilimia 18 watu wote wafanyakazi serikalini kma sijakosea.
hatawasipoenda church
RC na Anglican na Uchache Lutheran wanapewa fedha za kurun school na hospital tena nikupunguza Fees wanazotoza kwa wanaohudumiwa basi.

yanikama Shule ilikupasa kulipa 1m Unapunguziwa hadi 6au700,000 kwa Tsh
 
Back
Top Bottom