Vatican inamiliki dunia

Vatican inamiliki dunia

Soma taratibu. Kiko complicated kidogo. Ila uliyoandika kwenye uzi wako yote yamo. Achana na wajinga wanao comment matusi bila ushahidi.
Nimefanya kitu inaitwa proof reading nimemaliza ila naona kinajifunga baadhi ya vitu hawa conspiracy theorist baadhi ya mambo wameetumia too ĉommon sence na sio reality mfano wanamtaja mtu na ameshakufa ....
a/c to my belief makundi mengi ämbayo häyapo kwenye Association na catholic church yalikuja kuasi.
Papa wakipindi hicho akaona ni upuuzi uwa wote kina knighty of templar waka surrender.wengine waka rostiwa.
sasa haya makundi yote yanaendeshwa na makundi ya Catholic kwa manufaa ya kns katoliki.(Jesuit.Opus dei nk)

chezea any thing but never mess with catholic church kila utakachofanya kwa mwezi lazima utawagusa tuu.
Bank.Administration.n.k
 
Ukweli ndo huo mwenye macho na aone na mwenye maskio na askie
Ili utoboe kimaisha lazima usome vitabu mno, kwa ulegevu wa kumezeshwa mambo ya huu ulimwengu "WENGI WATAPOTEA"
"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" ilikuwa kauli ya masikitiko kwa MUUMBA dhidi ya viumbe vyake vinavyotaka mteremko tuu...
Wanasema "Ufalme wa MUNGU unatekwa na wenye nguvu" knowledge is power

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom