Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😱Tatizo lako umepanic,Kama unategemea kuanzisha uzi hapa ukutane na unaofanana nao akili basi umefeli.
Kama unataka hivyo kusanya kama ni mkeo,watoto sijui mama yako na ndugu zako wengine kisha wahadithie huku umewashikia bakora hao ndiyo watakaokaa kimya bila kukupa changamoto.
Ndo hivyoHuyo Aroon na jamaa zake wana matatizo. Wanaona kijicho kwa namna gani Kanisa Katoliki lilivyo kama Maji au Hewa ya Oxygen. Kwa Maji, kwamba usipoyaoga utayapikia au kuyafulia na au kumwagilia na hewa kwamba pasipo kwa yenyewe hakuna maisha.
Kanisa Katoliki lazima liitawale dunia kwa sababu ndio wajibu lililopewa na Kristu: Lolote mtakalolifungua Dunia na Mbinguni itakuwa hivyo na kinyume chake ni kweli.

we Demu????????Wanaume tutafute pesa.
Basi.
Ndo nguvuza Majesuit zinajidhihirisha
Kijana mbona hauna adabu?n
Ndo hivyo
we Demu????????
u shoo
Nimesema "wanaume TUtafute hela"unaongelea wanaume wewe ni nan sasa
Ongea kitu ambacho unauakika nachoHata haya maandiko wasabato wanayojinasibisha kuyajua na kuyafuata ni ya wakatoliki
Basi maandishi hayo ni ya wasabato...[emoji3][emoji3]mnapenda sifa za kijinga nani asiye jua wakatoliki ndio walio leta hizi bibleOngea kitu ambacho unauakika nacho
ni kwasababu kila neno litaletwa ukumuni liwe baya au jema...
Asante kwa hilo ila unapaswa kuelewa kuwa kuna kitu unaitaji kama ungepata muda ukasoma Biblia na ukaelewa inasema nini natumaini ungejua ukwel...Basi maandishi hayo ni ya wasabato...[emoji3][emoji3]mnapenda sifa za kijinga nani asiye jua wakatoliki ndio walio leta hizi bible
biblia Aina Ukweli wote Miaka 2000 iliyopita aina Update things Mfano utoaji mimba kwa mwanadamu na TechnoAsante kwa hilo ila unapaswa kuelewa kuwa kuna kitu unaitaji kama ungepata muda ukasoma Biblia na ukaelewa inasema nini natumaini ungejua ukwel...
Hv unadhani Daniel kuandika kwamba maarifa yataongezeka pengine alimaanisha nini et...bpengine alim Aina Ukweli wote Miaka 2000 iliyopita aina Update things Mfano utoaji mimba kwa mwanadamu na Techno
NAKAZIA WAZEE WA CHAPA YA MNYAMA 666Watawamiliki hao hao wafasi wa mnyama 666