Vatican inamiliki dunia

Vatican inamiliki dunia

Tatizo lako umepanic,Kama unategemea kuanzisha uzi hapa ukutane na unaofanana nao akili basi umefeli.

Kama unataka hivyo kusanya kama ni mkeo,watoto sijui mama yako na ndugu zako wengine kisha wahadithie huku umewashikia bakora hao ndiyo watakaokaa kimya bila kukupa changamoto.
😱
 
n
Huyo Aroon na jamaa zake wana matatizo. Wanaona kijicho kwa namna gani Kanisa Katoliki lilivyo kama Maji au Hewa ya Oxygen. Kwa Maji, kwamba usipoyaoga utayapikia au kuyafulia na au kumwagilia na hewa kwamba pasipo kwa yenyewe hakuna maisha.

Kanisa Katoliki lazima liitawale dunia kwa sababu ndio wajibu lililopewa na Kristu: Lolote mtakalolifungua Dunia na Mbinguni itakuwa hivyo na kinyume chake ni kweli.
Ndo hivyo
 
Wanaume tutafute pesa.
Basi.
we Demu????????
u shoo
 
Basi maandishi hayo ni ya wasabato...[emoji3][emoji3]mnapenda sifa za kijinga nani asiye jua wakatoliki ndio walio leta hizi bible
Asante kwa hilo ila unapaswa kuelewa kuwa kuna kitu unaitaji kama ungepata muda ukasoma Biblia na ukaelewa inasema nini natumaini ungejua ukwel...
 
Asante kwa hilo ila unapaswa kuelewa kuwa kuna kitu unaitaji kama ungepata muda ukasoma Biblia na ukaelewa inasema nini natumaini ungejua ukwel...
biblia Aina Ukweli wote Miaka 2000 iliyopita aina Update things Mfano utoaji mimba kwa mwanadamu na Techno
 
bpengine alim Aina Ukweli wote Miaka 2000 iliyopita aina Update things Mfano utoaji mimba kwa mwanadamu na Techno
Hv unadhani Daniel kuandika kwamba maarifa yataongezeka pengine alimaanisha nini et...

Kama ulitaka Biblia iandike kila kitu unadhani ungekuwa na uwezo wa kusoma...
 
Back
Top Bottom