interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Biblia ni ya Mungu hakuna Biblia iliyotengenezwa na Binadamu kwa mapenzi yake binafsi, japo hiyo ya 72 ndiyo imechakachuliwaBaada ya kula Pilau la Xmas na Boxing Day umeamua kuja kujamba huku JF
.
Ok! Ongeza na hii
Hata kalenda hii ambayo wiki ijayo dunia itapiga maparachuti juu n kusema karibu mwaka 2019 ni Kalenda yao....
Biblia hii iwe ya Vitabu 66 au 72 ni yao...
Hata Christmas ambayo Wasabato hawasherekei ila huko Marekani Rais Wa Wasabato anasherekea na Wasabato....
Hadithi za wazungu hizo.. yani sijawahi elewa kabisa..Asante kwa hilo ila unapaswa kuelewa kuwa kuna kitu unaitaji kama ungepata muda ukasoma Biblia na ukaelewa inasema nini natumaini ungejua ukwel...
"SI KILA ATAYENIJIA AKINIITA BWANA BWANA ATAUONA UFALME WA MUNGU"Full Stop and Long Break....
Mkuu Sanctus....
Tazama video hii Rais wa Wasabato akitoa mwaliko wa kusherekea Xmas.....
Hii inanikumbusha nondo zako za nyuma za Za Ellen G White kutaza waumini wake wasivae gold na almas, angali yeye alikuwa akivivaa sana.....
Ona kenge huku wameshupalia Xmas ni upagani angali Huko Marekani Rais wao anasherekea..
Hata NABII MUSA alizaliwa katika nchi ya utumwa Misri/Egypt lakini haikuzuia mpango wa Mungu kuwaokoa wana wa Israeli.Hata haya maandiko wasabato wanayojinasibisha kuyajua na kuyafuata ni ya wakatoliki
Kwanini walikuwa wakiwaua waliokuwa wakieneza injili za ukweli enzi hizo?Basi maandishi hayo ni ya wasabato...[emoji3][emoji3]mnapenda sifa za kijinga nani asiye jua wakatoliki ndio walio leta hizi bible
Sent using Jamii Forums mobile app
AMINAHv unadhani Daniel kuandika kwamba maarifa yataongezeka pengine alimaanisha nini et...
Kama ulitaka Biblia iandike kila kitu unadhani ungekuwa na uwezo wa kusoma...
Yani wasabato wanahaha sana kama kuku anataka kutagaHizi conspiracies za kitoto na zinawaandama wavivu wa kufikiri. Tumeshazielezea sana humu na kutoa fafanuzi mbalimbali lakini, kila amezeshwae sumu huja tena na thread akidhani ni habari mpya.
Huu ni upumbavu ulioandikaIn summary form. Wakatoliki walitaka kila mtu aamini ukatoliki namna pekee ilikuwa kwa upanga wa moto. Lakini jesuit waliona kuwa kama katoliki ingeshiriki katika hili baadaye ingekuja kuwa critized. So what, they decided to create part B church (Islam) to accomplish the mission and MUD the jesuit was given the task before he bertrayed and started claiming he received from God. Na kwa kuwa ndicho alichowaaminisha wafuasi wake alikuwa na ukweli wake. But wataalamu wa theology wanasema at end MUD was on his movement back to his origin. UNAAMBIWA.
Ni shidaHata Christmas ambayo Wasabato hawasherekei ila huko Marekani Rais Wa Wasabato anasherekea na Wasabato....
Sijaelewa kitu.. na imekuaje rc wakaruhusu kifungu kinacho waponda wao kikasomwa na nyie ambao biblia mmeletewa.. maana wenye mamlaka ya kupunguza ama kuongeza vifungu kwenye bible ni ma papa na jopo lake [emoji3][emoji3]Kwanini walikuwa wakiwaua waliokuwa wakieneza injili za ukweli enzi hizo?
Soma vzr 2PETRO 1:19-21 ndipo ulete mapenzi yako ya U-RC hapa.
"Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing’aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.
20 Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.
21 Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu."
Sent using Jamii Forums mobile app
KWANINI MLIEDIT BIBLIA SASA TOKA VITABU 66-72?Sijaelewa kitu.. na imekuaje rc wakaruhusu kifungu kinacho waponda wao kikasomwa na nyie ambao biblia mmeletewa.. maana wenye mamlaka ya kupunguza ama kuongeza vifungu kwenye bible ni ma papa na jopo lake [emoji3][emoji3]
Mimi si mfuasi wa Rc ila najua hao ndio baba wa ukristo duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo kaandae makande sabato inakaribiaDHEHEBU FLANI HIVI NI LA KIPAGANI KWA 99.9%. TOKANA NA SABABU ZIFUATAZO:
1. Nguruwe/Kitimoto twende kazi.
2. Kuabudu sanamu wala siyo Mungu aliye hai, twende kazi.
3. Pombe/ulevi, twende kazi.
4. Sikukuu zote ambazo hazijahalalishwa katika Biblia, twende kazi.
5. Sala za Wafu wasiojua chochote kinachoendelea kwa walio hai, twende kazi.
6. Kutoa misamaha kwa Binadamu hai hata kwa Marehemu toka kwa kiongozi wao wa dini nakati ni Mungu pekee ndiye astahiliye kutoa hiyo misamaha, twende kazi.
7. Kutengua agizo la kuto-edit(kuongeza wala kupunguza neno lolote katika Biblia "UFUNUO 22:18-21" tena sasa hivi wanakuja na Biblia yao feki "The Bible 2000 years" twende kazi.
8. Wakala mkuu wa Lucifer(shetani/ibilisi na baba wa uwongo) kujiita Baba mtakatifu wa dunia nzima nakati Biblia inatambua uwepo wa Baba m1 tu ambaye ni Muumba wa mbingu na nchi na vyote viijazavyo nchi, twende kazi.
9. Upagani wa utatu mtakatifu wa miungu watu(Nimrod, Semiras na Tammuz) huku wakijificha katika kivuli cha uhalali wa YEHOVA(Mungu Baba), Yesu(Mungu Mwana) na Roho Mtakatifu(nguvu ya Mungu), twende kazi.
10. Kuibadili siku takatifu ya Mungu ya 7(Sabato/Jumamosi) kwa kuiweka kinyume kwa siku ya kwanza ya juma(Jumapili), twende kazi.
11. "Usiwe na miungu mingine ila mimi" wao wanahalalisha rozali wakiiabudu na kuitumikia, twende kazi.
DINI/DHEHEBU GANI INARUHUSU KILA KITU NAKATI MUNGU NI WA UTARATIBU NDIYOMAANA ALITUPATIA SHERIA TUZITII?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kunialika lakini kile ulichonipondea kule kwenye mada ya kiranga naona ndio umekifanya huku tena kwa asilimia miamoja... Mimi nimeandika mada ya uchambuzi lakini wewe ni copy n paste 100%... Halafu nyingi ni conspiracy za kutunga na kufikirikaAROON
Zitto kabwe
faiza Foxy
Yericko Nyerere
R420
Mzizi wambuyu
@majenge
Mzizi Mkavu
Mzee Mwanakijiji
nalimwengu
Mrigariga
Mshana Jr
The bold
@bagwere
Alexander The Great
makilo
kinundu
eden kimario
Dady
@da vinch
@maribolo
Dogo kaandae makande sabato inakaribia
Unadhani Biblia ilishushwa kama Qoran...???Biblia ni ya Mungu hakuna Biblia iliyotengenezwa na Binadamu kwa mapenzi yake binafsi, japo hiyo ya 72 ndiyo imechakachuliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
we chizi kama jina lako na pia mshamba amna kukusanya video una paste link tu acha ushamba wewembn ni dak ata sijatumia dak 10