Vatican inamiliki dunia

Vatican inamiliki dunia

Baada ya kula Pilau la Xmas na Boxing Day umeamua kuja kujamba huku JF
.

Ok! Ongeza na hii
Hata kalenda hii ambayo wiki ijayo dunia itapiga maparachuti juu n kusema karibu mwaka 2019 ni Kalenda yao....

Biblia hii iwe ya Vitabu 66 au 72 ni yao...
Biblia ni ya Mungu hakuna Biblia iliyotengenezwa na Binadamu kwa mapenzi yake binafsi, japo hiyo ya 72 ndiyo imechakachuliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DHEHEBU LA KATOLIKI NI LA KIPAGANI KWA 99.9%. TOKANA NA SABABU ZIFUATAZO:

1. Nguruwe/Kitimoto twende kazi.

2. Kuabudu sanamu wala siyo Mungu aliye hai, twende kazi.

3. Pombe/ulevi, twende kazi.

4. Sikukuu zote ambazo hazijahalalishwa katika Biblia, twende kazi.

5. Sala za Wafu wasiojua chochote kinachoendelea kwa walio hai, twende kazi.

6. Kutoa misamaha kwa Binadamu hai hata kwa Marehemu toka kwa kiongozi wao wa dini nakati ni Mungu pekee ndiye astahiliye kutoa hiyo misamaha, twende kazi.

7. Kutengua agizo la kuto-edit(kuongeza wala kupunguza neno lolote katika Biblia "UFUNUO 22:18-21" tena sasa hivi wanakuja na Biblia yao feki "The Bible 2000 years" twende kazi.

8. Wakala mkuu wa Lucifer(shetani/ibilisi na baba wa uwongo) kujiita Baba mtakatifu wa dunia nzima nakati Biblia inatambua uwepo wa Baba m1 tu ambaye ni Muumba wa mbingu na nchi na vyote viijazavyo nchi, twende kazi.

9. Upagani wa utatu mtakatifu wa miungu watu(Nimrod, Semiras na Tammuz) huku wakijificha katika kivuli cha uhalali wa YEHOVA(Mungu Baba), Yesu(Mungu Mwana) na Roho Mtakatifu(nguvu ya Mungu), twende kazi.

10. Kuibadili siku takatifu ya Mungu ya 7(Sabato/Jumamosi) kwa kuiweka kinyume kwa siku ya kwanza ya juma(Jumapili), twende kazi.

11. "Usiwe na miungu mingine ila mimi" wao wanahalalisha rozali wakiiabudu na kuitumikia, twende kazi.

DHEHEBU GANI LINARUHUSU KILA KITU NAKATI MUNGU NI WA UTARATIBU NDIYOMAANA ALITUPATIA SHERIA TUZITII?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Full Stop and Long Break....

Mkuu Sanctus....
Tazama video hii Rais wa Wasabato akitoa mwaliko wa kusherekea Xmas.....

Hii inanikumbusha nondo zako za nyuma za Za Ellen G White kutaza waumini wake wasivae gold na almas, angali yeye alikuwa akivivaa sana.....

Ona kenge huku wameshupalia Xmas ni upagani angali Huko Marekani Rais wao anasherekea..

"SI KILA ATAYENIJIA AKINIITA BWANA BWANA ATAUONA UFALME WA MUNGU"

MATHAYO 7:21-23.

2WAKORINTHO 11:14-15 "Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
15 Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao."

MATHAYO 7:41-20 "Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.
15 Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali.
16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?
17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya.
18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri.
19 Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni.
20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua."

WAENENDE KWA SHERIA(AMRI 10 ZA MUNGU) NA USHUHUDA(MATENDO ALIYOYATENDA YESU NA MANABII WAKE).

ISAYA 8:19-20 19 "Na wakati watakapokuambia, Tafuta habari kwa watu wenye pepo na kwa wachawi; waliao kama ndege na kunong’ona; je! Haiwapasi watu kutafuta habari kwa Mungu wao? Je! Waende kwa watu waliokufa kwa ajili ya watu walio hai?
20 Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi."

USIIAMINI KILA ROHO.

1YOHANA 4:1-6 "Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
2 Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.
3 Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
4 Ninyi, watoto wadogo, mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda, kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika dunia.
5 Hao ni wa dunia; kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia
6 Sisi twatokana na Mungu. Yeye amjuaye Mungu atusikia; yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu."

"MPENDWA NJIA YA KWENDA MBINGUNI NI NYEMBAMBA NA WAINGIAO NI WACHACHE" TAYARI "RC" IMEKUPELEKA MOTONI SABABU INA WAFUASI WENGI SANA.

JE HAYO MAFUNGU YOTE YANAFUATWA NA "RC"???

JITATHMINI KWANZA NDIPO UJE NA UTHIBITISHO KUWA "RC" NI DHEHEBU LA MUNGU LAKINI KWA 100% "RC" NI WAKALA WA LUCIFER(SHETANI) NA NDIYO WATAOHUSIKA KATIKA KUTIMIZA UNABII.

DANIEL 7 & UFUNUO 14.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata haya maandiko wasabato wanayojinasibisha kuyajua na kuyafuata ni ya wakatoliki
Hata NABII MUSA alizaliwa katika nchi ya utumwa Misri/Egypt lakini haikuzuia mpango wa Mungu kuwaokoa wana wa Israeli.

Musa alipendwa na Binti wa Mfalme Farao na analelewa na huyo huyo Binti kwa siri ingawa uzao wa watoto wa kiume wa Israeli walikuwa wakiuwawa, lakini haikumzuia wala kumfanya Binti Farao asimlee Nabii Musa ambaye kupitia yeye wana wa Israeli waliupata wokovu toka utumwani Misri.

Njia za Mungu hazichunguziki na ndiye avinyanyuaye vilivyo dhaifu ili kuvidhoofisha vilivyo na nguvu kama vile DAUDI NA GOLIATH.

So usikariri sana kwa vile injili ilitokea RC ndicho kikwazo kwa Mungu kutokutenda kazi yake, haijawahi kutokea, haitokei na haitatokea kamwe sababu uweza na nguvu vina yeye(YEHOVA/ALFA & OMEGA/MWANZO NA MWISHO).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi maandishi hayo ni ya wasabato...[emoji3][emoji3]mnapenda sifa za kijinga nani asiye jua wakatoliki ndio walio leta hizi bible

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini walikuwa wakiwaua waliokuwa wakieneza injili za ukweli enzi hizo?

Soma vzr 2PETRO 1:19-21 ndipo ulete mapenzi yako ya U-RC hapa.

"Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing’aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.
20 Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.
21 Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi conspiracies za kitoto na zinawaandama wavivu wa kufikiri. Tumeshazielezea sana humu na kutoa fafanuzi mbalimbali lakini, kila amezeshwae sumu huja tena na thread akidhani ni habari mpya.
Yani wasabato wanahaha sana kama kuku anataka kutaga
 
In summary form. Wakatoliki walitaka kila mtu aamini ukatoliki namna pekee ilikuwa kwa upanga wa moto. Lakini jesuit waliona kuwa kama katoliki ingeshiriki katika hili baadaye ingekuja kuwa critized. So what, they decided to create part B church (Islam) to accomplish the mission and MUD the jesuit was given the task before he bertrayed and started claiming he received from God. Na kwa kuwa ndicho alichowaaminisha wafuasi wake alikuwa na ukweli wake. But wataalamu wa theology wanasema at end MUD was on his movement back to his origin. UNAAMBIWA.
Huu ni upumbavu ulioandika
 
Kwanini walikuwa wakiwaua waliokuwa wakieneza injili za ukweli enzi hizo?

Soma vzr 2PETRO 1:19-21 ndipo ulete mapenzi yako ya U-RC hapa.

"Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing’aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.
20 Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.
21 Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu."

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa kitu.. na imekuaje rc wakaruhusu kifungu kinacho waponda wao kikasomwa na nyie ambao biblia mmeletewa.. maana wenye mamlaka ya kupunguza ama kuongeza vifungu kwenye bible ni ma papa na jopo lake [emoji3][emoji3]

Mimi si mfuasi wa Rc ila najua hao ndio baba wa ukristo duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DHEHEBU FLANI HIVI NI LA KIPAGANI KWA 99.9%. TOKANA NA SABABU ZIFUATAZO:

1. Nguruwe/Kitimoto twende kazi.

2. Kuabudu sanamu wala siyo Mungu aliye hai, twende kazi.

3. Pombe/ulevi, twende kazi.

4. Sikukuu zote ambazo hazijahalalishwa katika Biblia, twende kazi.

5. Sala za Wafu wasiojua chochote kinachoendelea kwa walio hai, twende kazi.

6. Kutoa misamaha kwa Binadamu hai hata kwa Marehemu toka kwa kiongozi wao wa dini nakati ni Mungu pekee ndiye astahiliye kutoa hiyo misamaha, twende kazi.

7. Kutengua agizo la kuto-edit(kuongeza wala kupunguza neno lolote katika Biblia "UFUNUO 22:18-21" tena sasa hivi wanakuja na Biblia yao feki "The Bible 2000 years" twende kazi.

8. Wakala mkuu wa Lucifer(shetani/ibilisi na baba wa uwongo) kujiita Baba mtakatifu wa dunia nzima nakati Biblia inatambua uwepo wa Baba m1 tu ambaye ni Muumba wa mbingu na nchi na vyote viijazavyo nchi, twende kazi.

9. Upagani wa utatu mtakatifu wa miungu watu(Nimrod, Semiras na Tammuz) huku wakijificha katika kivuli cha uhalali wa YEHOVA(Mungu Baba), Yesu(Mungu Mwana) na Roho Mtakatifu(nguvu ya Mungu), twende kazi.

10. Kuibadili siku takatifu ya Mungu ya 7(Sabato/Jumamosi) kwa kuiweka kinyume kwa siku ya kwanza ya juma(Jumapili), twende kazi.

11. "Usiwe na miungu mingine ila mimi" wao wanahalalisha rozali wakiiabudu na kuitumikia, twende kazi.

DINI/DHEHEBU GANI INARUHUSU KILA KITU NAKATI MUNGU NI WA UTARATIBU NDIYOMAANA ALITUPATIA SHERIA TUZITII?

KWANINI MLIEDIT BIBLIA SASA TOKA VITABU 66-72?

UNADHANI MUNGU ANAPOJIITA ALFA NA OMEGA NI FASHENI TU? MUNGU ALISHAWAJUA VZR SN NINYI WAPINGA KRISTO WAKUU KUWA NI LAZIMA MTAKUJA KU-EDIT HIYO BIBLIA.

UFUNUO 22:18-20 "Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyaongeza, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.
19 Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.
20 Yeye mwenye kuyashuhudia haya asema, Naam; naja upesi. Amina; na uje, Bwana Yesu."

ISAYA 10:1-2 "Ole wao wawekao amri zisizo za haki, na waandishi waandikao maneno ya ushupavu;
2 ili kumpotosha mhitaji asipate haki yake, na kuwanyang’anya maskini wa watu wangu haki yao; ili wajane wawe mateka yao, na kuwafanya yatima waliofiwa na baba zao kuwa mawindo yao!"

MUNGU KAWAONYA NINYI MUENDAO UPOTEVUNI KUWA OLE WENU MNAO-EDIT BIBLIA SABABU ALISHAWAJUA MIOYO YENU JINSI INAVYOMUWAKILISHA YULE shetani/ibilisi BABA WA UONGO.

SO ENDELEA KUNG'ANG'ANIA AMBACHO MUNGU KASHAKUKATAZA LAKINI SIKU YA HUKUMU HAUTASIMAMA NA HUYO PAPA/WAKALA WA shetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DHEHEBU FLANI HIVI NI LA KIPAGANI KWA 99.9%. TOKANA NA SABABU ZIFUATAZO:

1. Nguruwe/Kitimoto twende kazi.

2. Kuabudu sanamu wala siyo Mungu aliye hai, twende kazi.

3. Pombe/ulevi, twende kazi.

4. Sikukuu zote ambazo hazijahalalishwa katika Biblia, twende kazi.

5. Sala za Wafu wasiojua chochote kinachoendelea kwa walio hai, twende kazi.

6. Kutoa misamaha kwa Binadamu hai hata kwa Marehemu toka kwa kiongozi wao wa dini nakati ni Mungu pekee ndiye astahiliye kutoa hiyo misamaha, twende kazi.

7. Kutengua agizo la kuto-edit(kuongeza wala kupunguza neno lolote katika Biblia "UFUNUO 22:18-21" tena sasa hivi wanakuja na Biblia yao feki "The Bible 2000 years" twende kazi.

8. Wakala mkuu wa Lucifer(shetani/ibilisi na baba wa uwongo) kujiita Baba mtakatifu wa dunia nzima nakati Biblia inatambua uwepo wa Baba m1 tu ambaye ni Muumba wa mbingu na nchi na vyote viijazavyo nchi, twende kazi.

9. Upagani wa utatu mtakatifu wa miungu watu(Nimrod, Semiras na Tammuz) huku wakijificha katika kivuli cha uhalali wa YEHOVA(Mungu Baba), Yesu(Mungu Mwana) na Roho Mtakatifu(nguvu ya Mungu), twende kazi.

10. Kuibadili siku takatifu ya Mungu ya 7(Sabato/Jumamosi) kwa kuiweka kinyume kwa siku ya kwanza ya juma(Jumapili), twende kazi.

11. "Usiwe na miungu mingine ila mimi" wao wanahalalisha rozali wakiiabudu na kuitumikia, twende kazi.

DINI/DHEHEBU GANI INARUHUSU KILA KITU NAKATI MUNGU NI WA UTARATIBU NDIYOMAANA ALITUPATIA SHERIA TUZITII?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo kaandae makande sabato inakaribia
 
Asante kwa kunialika lakini kile ulichonipondea kule kwenye mada ya kiranga naona ndio umekifanya huku tena kwa asilimia miamoja... Mimi nimeandika mada ya uchambuzi lakini wewe ni copy n paste 100%... Halafu nyingi ni conspiracy za kutunga na kufikirika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ulichoandika hapa sidhan kama we mwenyewe unakielewa.
AMNA
WEWEMBN
DAK
ATA
hayo ni maneno ya lugha gani? Mnaambiwa mkasoma hamtaki.una copy vitu na kuja kupaste hapa wakati hata akili ndogo tu ya kujieleza huna.

we chizi kama jina lako na pia mshamba amna kukusanya video una paste link tu acha ushamba wewembn ni dak ata sijatumia dak 10
 
Back
Top Bottom