Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao waliopredict mwisho wa dunia ni matapel au walikosea tuAROON nimekufuatilia sana ila ujue kitabu cha ufunuo kiliandikwa mda gani alafu gusa
hapa List of dates predicted for apocalyptic events - Wikipedia uone toka miaka ya karne ya 1 watu walipredict mwisho wa dunia mitiririko yote ipo hapa
Kumbuka vitabu vilipigiwa kura papa amaelezea hapa yaliyo fanyika by BBSHao waliopredict mwisho wa dunia ni matapel au walikosea tu
Ukweli ni huu haijalish yohana aliandika ufunuo muda gan, ila ukwel ni kwamba Ufunuo una predict had kuja kwa yesu mara ya pili
Hata ndoto ya daniel 2 inaonesha had mwisho JIWE LINAIVUNJAVUNJA MIGUU ya sanamu na kuisambaratisha ,
Hiyo miguu ni Utawala wa mwisho ambao kiongoz wao ni VATCAN na mataifa yale 10 yaan vidole 10
Soma vzr maandiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yako ni nn sasaKumbuka vitabu vilipigiwa kura papa amaelezea hapa yaliyo fanyika by BBS
Angalia Hii
Internet.org
Hiyo
Internet.org
Kwa hiyo hata baadhi ya vitabu waliongezea maandishi has a vya mwisho maana viliandikwa kwenye ngozi na mawe na vilikaa sana
Mtu ambaye hasheherekei Chrismass sio Mkristo.Hata Christmas ambayo Wasabato hawasherekei ila huko Marekani Rais Wa Wasabato anasherekea na Wasabato....
Kumbuka vitabu vilipigiwa kura papa amaelezea hapa yaliyo fanyika by BBSHao waliopredict mwisho wa dunia ni matapel au walikosea tu
Ukweli ni huu haijalish yohana aliandika ufunuo muda gan, ila ukwel ni kwamba Ufunuo una predict had kuja kwa yesu mara ya pili
Hata ndoto ya daniel 2 inaonesha had mwisho JIWE LINAIVUNJAVUNJA MIGUU ya sanamu na kuisambaratisha ,
Hiyo miguu ni Utawala wa mwisho ambao kiongoz wao ni VATCAN na mataifa yale 10 yaan vidole 10
Soma vzr maandiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uzushi EGW hakuwa freemason. Na freemason hawampend mpaka keshoKumbuka vitabu vilipigiwa kura papa amaelezea hapa yaliyo fanyika by BBS
Angalia Hii
Internet.org
Hiyo
Internet.org
Kwa hiyo hata baadhi ya vitabu waliongezea maandishi has a vya mwisho maana viliandikwa kwenye ngozi na mawe na vilikaa sana alafu ukitaka enjoy usi base upande mmoja angalia kote....
Kuna Ant SDA source's
Ant Lutheran sources
Ant Islamic sources
Nk.
Utaona madudu kama
Mama Hellen alikuwa mwanamke Freemasons wa 1.
Na nando aliwapigania world Freemasons wawa kubalie wanawake km sasa.
Mimi na angalia pande zote ndonna faidi kuliko Ww unaeangalia pande moja.
Na kufikiri upoooooooooo safe wa Dini yako.
Fanya Research yeyote ya underground utagundua All Roads lead to Rome Vatican.
Vatican inatumia
1.Jesuit.
Wasomi na
MaBingwa wa intelligence.
Chunguza college na university zao na Theology seminar Zao dunian utaona
Alumni wao wengi ni Maafsa Usalama
Wengi dunian.
Na Maraisi km Bill Clinton.
Donald Trump.
Nguvu zao zinajidhihirisha hapa
Trump roasts Clinton at Al Smith charity dinner
Trump leads Catholic vote
Pray for Donald Trump to Become Catholic
Fidel Castro. Nk
Na Ma CEO wengi ikiwamo Mo Dewgi na Rostam Aziz nk
Haw Majesuit wana run Intelligence. Leadership.Education. Bank.Technology n.k
2.Knights of Templar.
Hawa jisomee zaidi
Hawa wanarun Secret institution.
Nawana Oppose Islamic law.
3.Knights of Malta
Wana run Donations na Insurance n.k
4. 13 Families.
Hawa wapo chini ya papa ki siri na wanaendesha Mali za Dunia indirectly.
5.All word institution na Religious congregations.
Vatican imeumiza vichwa kumpata Queen wa Uingereza ambaye ni mkatoliki wakakosa waka mwendesha Queen Elizabeth 2.
Chini ya Knights of Malta ona hapa
Intel on the Sovereign Military Order of Malta
Ndo utajua Modern Freemason wa mwaka 10-sasa wanaendeshwa na vatican kutumia knight of Malta na Jesuit ndo maana nikawaida 33degree mason kukutana na Superior General wa Jesuit.
Kwa mujibu wa kitabu Vatican Assassin ona Eric Jon Phelps - All Roads Lead to Rome
Eric John anaeleza ni vigumu Freemason wadogo kujua ila wenye 33degree wanajua haswa na pesa wanapeleka Fungu la 10 vatican.
Anaendelea kueleza kuwa vatican ilikuja ku orgaize freemason maana walijua mbeleni watawashika watu wakubwa wa dini nyingine na ambao hawapo kwenye any Catholic congregation na Secret societies za kikatoliki
kama
- Opus Dei ona hapa "Opus Dei Revealed" - A Powerful Group inside the Roman Catholic Empire The Opus(Documentary) How Dangerous Is Opus Dei
- All Catholic Knights Secrets of the Knights Templar - Full Documentary History Channel Documentary Secrets of the Knights Templar Join the Holy League movement of Catholic Men - Cardinal Burke U.S. Presidents and Leaders are Agents of the Roman Catholic Knights of Malta nk Nawatatumiwa kwa Mnufaa ya Kanisa Katoliki na Mpango wake wa kutawla dunia N.W.O
Vatican wamefanikiwa 90%kuendesha dunia na 10% wamefeli.
Wamefanikiwa kushika ma dictator na kuwaendesha kwa manufaa yao
Ona
A.Adolf Hitler
View attachment 980221
View attachment 980223
B.Benito Mussolini
Kanisa katoliki wana kuja kwa nguvu tena na ujanja mwingi. wanauzia waislamu makanisa huko Italia na Baadhi ya nchi za Europe kwa pesa nyingi na kuyabadilisha kuwa misikiti wakisema wanawavutia wahamiaji waislamu na Mungu anawapenda wahamiaji wakitumia kama kigezo cha kuwachezea .Cha ajabu wanajenga Makanisa mapya makubwa UAE. Iran.Iraq. na Nchi nyingine za Waislamu wengi na Ardhi wanapewa bure na Wafalme wa nchi hizo pamoja na vifaa vya ujenzi vya gharama.
FaizaFoxy uje na ujionee trick za hawa watu ukifurahi makanisa kuwa misikiti uone nahuku.
Yericko Nyerere kweli hawa ni zaidi ya majasusi.
On a
ST MARY's CHURCH, DUBAI
Second catholic church in Mussaffah, Abu Dhabi inaugurated
Hawa Jamaa ni mwisho wana convert Muslim to Catholic kwa kasi on a
New Catholic Church opens its doors in the United Arab Emirates
Actress who converted to Catholicism: Not true today's Church is old
Germany Accuses Muslim Migrants Of Converting To Christianity To Get Asylum (HBO)
Potential Catholic-convert after attending pope's General Audience
Catholic church receives 200 converts
Atheist blogger adopts Catholicism
Amakweli hawa watu noma
First UAE Swahili Catholic Mass
Pope Francis meets with Saudi Arabian representative in the Vatican
In
Philippines
9 Untold Secrets of the Catholic Church In The Philippines
Angalia jinsi wanavyojaza watu WYD16 Thurs Mass Homily - Cardinal Tagle
Pope anapata wafuasi wengi kutokana na maisha yake ya kujitoa.
Philippines: Pope Francis arrives in Asia's most populous Catholic country
Is the Philippines the only Catholic country in Asia
Watch: Filipino Catholics climb onto statue of Jesus
Video protestant dislike Catholic to watch.
The video that no PROTESTANT wants you to see!
Video Muslim dislike catholic to watch.
Donald Trump: 'I think Islam hates us'
ISLAM or CHRISTIANITY - Which Religion Is Better?
Catholic will stay Everlasting.
Nimegundua wakatholik walianzisha Islam
Ex Jesuit Priest Alberto Rivera Reveals How the Vatican created Islam
Ex Jesuit Alberto Rivera and others Speak on Jesuit infiltration
Ex Jesuit Alberto Rivera The Greatest Deceit and today´
Noma hawa Jamaa.wataendesha dunia milele na Hawatapata pingamizi lolote kanisa la Mungu.wanaamini
Is the pope head of the world's most powerful government? | The Economist
- Kanisa ni moja
- Kanisa ni Takatifu
- Kanisa ni Katoliki
- Kanisa la Kitume
- Kanisa ni la Kimissionary.
Kama una positive to Add your warmly invited to add
Sorry! NI mawazo yako tu.Acha uzushi EGW hakuwa freemason. Na freemason hawampend mpaka kesho
Bcoz , ukatolik na ufreemason ni kitu kimoja
Aliwapinga had anapokufa , alieleza had mbinu zao za kuunganisha makanisa huku Roma akiwa ni mkubwa wao
Nitakuletea KUHUSU roho tatu za uchafu
Akiwepo MNYAMA (ROMA)
JOKA(SHETAN)
NABII WA UONGO(MAKANISA YA KIPROTESTANT YENYE TABIA ZA ROMA)
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma history ya bibleHao waliopredict mwisho wa dunia ni matapel au walikosea tu
Ukweli ni huu haijalish yohana aliandika ufunuo muda gan, ila ukwel ni kwamba Ufunuo una predict had kuja kwa yesu mara ya pili
Hata ndoto ya daniel 2 inaonesha had mwisho JIWE LINAIVUNJAVUNJA MIGUU ya sanamu na kuisambaratisha ,
Hiyo miguu ni Utawala wa mwisho ambao kiongoz wao ni VATCAN na mataifa yale 10 yaan vidole 10
Soma vzr maandiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Historia ya bible imefanya niniSoma history ya bible
Nimebwabwaja kama ulivyobwabwaja. Ukitoa hoja nami ningetoa hoja.
Shida nn wapagan wame convert to RC Kuna shida au unaongelea Christmas???Historia ya bible imefanya nini
Haiondoi ukweli kuwa ROMA NI PANGO LA UPAGANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee!Hiv hujui kuwa vatcan ndio pembe ndogo,? Inayopata nguvu kutoka kwa joka ili kuudanganya ulimwengu, ndio maana upagan wote unatoka roma
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio shida ya kudandia mamboNimebwabwaja kama ulivyobwabwaja. Ukitoa hoja nami ningetoa hoja.
Kwenye hayo maandiko vatican imeandikwa?au ni hisia tu na tafsiri za Hellen!Hao waliopredict mwisho wa dunia ni matapel au walikosea tu
Ukweli ni huu haijalish yohana aliandika ufunuo muda gan, ila ukwel ni kwamba Ufunuo una predict had kuja kwa yesu mara ya pili
Hata ndoto ya daniel 2 inaonesha had mwisho JIWE LINAIVUNJAVUNJA MIGUU ya sanamu na kuisambaratisha ,
Hiyo miguu ni Utawala wa mwisho ambao kiongoz wao ni VATCAN na mataifa yale 10 yaan vidole 10
Soma vzr maandiko
Sent using Jamii Forums mobile app