Vatican inamiliki dunia

Vatican inamiliki dunia

Mwanamke (yule Babeli) wa Ufunuo 17 anaelezwa kuwa

“alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake. Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, Siri [2 The. 2:7], Babeli Mkuu, Mama wa Makahaba” [Ufu. 17:5, KJV].

Asema hivi yule Nabii:

“Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu.” Babeli anatangazwa tena kuwa ni “mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.” Ufunuo 17:4-6,18.
ae7a1c4de023bbda2da0a25e30e725f6.jpg

Tyndale aliuliwa na utawala wa kipapa kwa kutafsiri biblia...



Mamlaka ile iliyodumisha utawala wake wa kidikteta juu ya wafalme wa Ulimwengu ule wa Kikristo kwa karne nyingi ni Roma. Rangi ile ya zambarau na nyekundu, dhahabu na kito cha thamani, na lulu, huonyesha waziwazi picha ya utukufu wake na fahari yake iliyozidi ile ya kifalme [angalia pia rangi za sare za viongozi na mapambo yao],
da95cf61b762f5a8bb3ffa13c0e24c5f.jpg

b601c77df03518a6574d5fdbdf97b1ea.jpg


mambo ambayo jimbo lile la Roma ( Vatikani), lenye majivuno makuu, lilijigamba kuwa nayo. Wala hakuna mamlaka [serikali] nyingine ambayo kweli ingetangazwa kuwa ilikuwa imelewa kwa damu ya watakatifu,” kama ya kanisa lile ambalo kwa ukatili mbaya sana limewatesa wafuasi wake Kristo.

Babeli pia anashtakiwa kwa dhambi ya kuungana isivyo halali [kuzini] na “wafalme wa nchi.” Ilikuwa ni kwa njia ya kujitenga mbali na Bwana, na kuungana na washenzi [wapagani], ndipo kanisa lile la Kiyahudi likageuka na kuwa kahaba [Soma Ezekieli 23]; naye Roma [kama kanisa], akifanya uasherati [ukahaba] unaolandana kabisa na ule na kutafuta msaada [kuungwa mkono] toka kwa mamlaka [serikali] zile za kidunia, anapata lawama iyo hiyo.

014c67cfdb1f454cb6ffad5c5931e2e5.jpg

2d74043e7497ad8b2d6a027cbaa597c5.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
Najaribu kulink scriptures na maneno uliyoyaongea naona nyingi ni porojo tu.There's no any interconnection!
 
Ufunuo 17:8 “Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nikastaajabu ajabu kuu”

Mwanamke katika unabii inawakilisha “kanisa”, Ufunuo 21:2 inasema, “…Yerusalemu mpya…umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.” Na Ufunuo 21:9 inasema, “…Njoo huku, nami nitakuonyesha yule Bibi-arusi, mke wa Mwana-Kondoo.”

Hivyo Yohana aliona kanisa ambalo limelewa damu ya watakatifu, na je kanisa hilo ni kanisa gani? Katika fungu la 1 Yohana aliambiwa na malaika kwamba “njoo huku, nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu.” Kahaba huyo, katika fungu la 5 ametajwa kama “mwanamke aliyeketi juu ya mnyama“, -mnyama- katika unabi inawakilisha “ufalme” au “taifa”;

5dbdb37c07cb766da7a5397b9f6ae5da.jpg



angalia Danieli 7:17

“Wanyama hao…wanne ni wafalme wanne watakaotokea duniani” na Danieli 7:23 “…Huyo mnyama wa nne atakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia…”

Hivyo “mwanamke huyu aliyeketi juu ya mnyama” ni kanisa ambalo lina uwezo wa kidini na kisiasa kwa wakati mmoja (kanisa na serikali). Na Je ni kanisa gani hapa duniani lenye uwezo wa kidini na kisiasa? Ni kanisa la Romani Katoliki pekee! Ambapo kanisa katoliki ni “mwanamke” na Roma ni “mnyama”. Mpaka hapa hakuna haja ya ushahidi zaidi, lakini kwa sababu watu wana mioyo migumu kuamini ngoja tuongeze ushahidi zaidi usioweza kukatalika.
a8fe66046ab6d6f3624700a3b4ec3c46.jpg


Ufunuo 17:3 inasema, “Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona MWANAMKE, AMEKETI JUU YA MNYAMA mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi.”

Mnyama huyu anayelichukua kanisa katoliki ana “vichwa 7” na “pembe 10”; hapa vichwa saba vinawakilisha milima saba, Ufunuo 17:9 inasema, “Hapo ndipo penye akili zenye hekima. Vile vichwa saba ni milima saba anayokalia mwanamke huyo.”
d314dc57a45466bb2c36ec76cd9b6c68.jpg


Je hapa duniani kuna kanisa na serikali vimekaa juu ya milima saba?
*
Kanisa Katoliki linasema…
“Ni ndani ya mji wa Roma, uitwao Mji wa vilima saba, hivyo eneo lote la Serikali ya Vatican limewekewa mpaka kikamilifu.” –The Catholic Encyclopedia, p 529.
6e12cab82d08cdde8fdd6d81362767f3.jpg


“Je vilima saba vya Roma ni nini?
Roma inajulikana kuwa imejengwa juu ya vilima saba. Roma ilisemwa imepatikana wakati Romulus na Remus, wana mapacha wa Mars, walifika katika futi ya kilima Palatine na wakauanzisha mji, Vilima sita vingine ni Capitoline (kiti cha serikali), Quirinal, Viminal, Esquiline, Caelian, na Aventine.” –Geography.about.com

ENCYCLOPÆDIA BRITANNICA
Vilima saba vya Roma
“…kundi la vilima juu au kuhusu ambapo mji wa Roma wa zamani ulijengwa. Mji wa awali wa Romulus ulijegwa juu ya kilima Palatine (#1) (Kilatini: Mons Palatinus). Vilima vingine ni Capitoline, (#2) Quirinal, (#3) Viminal, (#4) Esquiline, (#5) Caelian, (#6) na Aventine (#7) (Vinavyojulikana kimoja kimoja kwa kilatini kama Mons Capitolinus, Mons Quirinalis, Mons Viminalis, Mons Esquilinus, Mons Caelius, na Mons Aventinus).” –http://www.britannica.com/seo/s/seven-hills-of-rome/

Hivyo mnyama mwenye vichwa 7 ambavyo ni milima 7 ni ufalme wa Roma, na mwanamke aliyeketi juu ya mnyama huyo au juu ya ile milima 7 ni Kanisa Katoliki. Mpaka hapa hakuna haja ya ushahidi zaidi, lakini ngoja tuongeze ushahidi mwingine labda ndungu watapata kuamini kwa huo.

Ufunuo 17:5 inasema, yule “mwanamke amekaa juu ya mnyama…mwenye pembe kumi“. Pembe katika unabii inawakilisha “mfalme/ufalme” au “taifa”, Danieli akitabiri kuhusu mnyama Roma alisema, “Na habari za zile pembe kumi [za mnyama], katika ufalme huo wataondoka wafalme kumi; na mwingine ataoondoka baada ya hao;…naye atawashusha wafalme watatu” Danieli 7:24.

Hivyo pembe kumi ni wafalme kumi ambao wanatawala katika ufalme huo mmoja wa Roma. Baada ya dola la Roma kuanguka mwaka 476BK liligawanyika katika mataifa/wafalme kumi ambayo ni…

1.Saxon,
kwa sasa ni taifa la Uingereza.
2.Frank,
kwa sasa ni taifa la Ufaransa.
3.Alamanni,
kwa sasa ni taifa la Ujerumani.
4.Visigoth, kwa sasa ni taifa la Uhispania.
5.Suevi, kwa sasa ni taifa la Ureno.
6.Lombard,
kwa sasa ni taifa la Italia.
7.Burgundia,
kwa sasa ni taifa la Uswidi.8Heruli,
liling’olewa na pembe ndogo 493 B.K.
9Vandal, liling’olewa na pembe ndogo 534 B.K.
10.Ostrogoth,
liling’olewa na pembe ndogo 538 B.K.

Hizo ndio pembe kumi za mnyama Roma, Unabii katika Danieli 7:8 na 24 unasema kuwa, baada ya pembe hizo kumi ambazo ni wafalme kumi wa dola la Roma, kati yao ingetokea pembe nyingine ndogo ambayo ni mfalme mwingine, ambaye ni Uapa wa Vatikani; nao ungelikuwa tofauti na wale wafalme 10 kwa sababu una nguvu za kidini na kiserikali tofauti na wale 10. Pia pembe ndogo ambaye ni Upapa angezing’oa pembe 3 katika zile pembe 10 za mnyama Roma.

Baada ya kanisa katoliki kupitisha fundisho la utatu katika baraza la 2 huko Konstantinapoli mwaka 381bk, baraza liliamuru kwamba wote wasiokubaliana na imani ya utatu waangamizwe; hivyo mataifa ya Waario (Arians); watu ambao hawakuamini fundisho la utatu, mataifa yao matatu; Heluli, Vandalis, na Ostrogoth yaliangushwa na kanisa Katoliki. Hivyo Upapa ulizing’oa kabisa pembe hizo 3 kama Danieli alivyotabiri, na mataifa 7 yaliyobaki leo yanaitwa Umoja wa Ulaya [EU].

Hivyo yule mnyama mwenye pembe kumi na vichwa saba ambavyo ni milima 7 ni ufalme wa Roma, na yule mwanamke aliyeketi juu yake ni Kanisa Katoliki. Na hivyo yule mwanamke wa Ufunuo 17:6 “amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu…” ni kanisa Katoliki lenyewe. Je historia inathibitisha kuwa kanisa Katoliki liliwahi kumwaga damu ya watakatifu na mashahidi wa Yesu?
d654fd2bd441c93b46c86e4352d3356c.jpg


“Kwa sababu ya kufundisha imani kinyume na mafundisho ya Roma, historia inaonyesha vifo vya wafia dini zaidi ya milioni 100” –Brief Bible Readings, p 16.

Kanisa Katoliki linasema…
“Katoliki ana baadhi ya sababu kwa upande wake wakati anapotoa adhabu kwa waasi wa kidini, kwa maana anajidaia jina la Ukristo kwake mwenyewe kwa kuzuia, na anajidai kufundisha kwamba uwepo wa Roho wa Mungu kamwe hautaondoka kwake…Siyo kosa zaidi kumuua mtu kwa sababu ya uasi wa kidini, kuliko kwa sababu ya uuaji,…[na] katika mambo mengi mateso kwa maoni ya kidini siyo tu kwamba yanaruhusiwa, lakini ni ya busara na ya lazima.” –The Lawfulnees of Persecution” in the Rambler, 4, June, 1849, pp 119, 126. (“The Rambler” lilikuwa ni gazeti la kila siku la Romani Katoliki lililochapishwa kuanzia mwaka 1848 hadi 1862).
bf9d9aac84ca8d8d428b624ff98ae464.jpg


“Chini ya mawazo na desturi za kijerumani, mateso yalitumiwa kidogo kuanzia karne ya 9 hadi karne ya 12, lakini kwa uhuikaji wa sheria ya Romani mateso yalianzishwa tena katika karne ya 12…Katika mwaka 1252 (Papa) Innocent IV aliruhusu adhabu ya mateso juu ya waasi wa kidini kwa kutumia mamlaka ya kiserikali, na mateso yakaja kuwa na mahali palipojulikana katika utaribu wa mahakama ya kiuchunguzi.” –New Catholic Encyclopedia, arts. “Inquisition”, “Auto-da-Fe’,” na “Massacre of St Bartholomew’s Day.”
5fc891cdb2e0a4cd5079066254f26d3c.jpg


BWANA AWAITA WOTE WALIOPO KWA HUYU MNYAMA WATOKE HARAKA SANA


YHWH IS GOOD


Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,
 
IGNATIUS LOYOLA ALIWAHI KUSEMA HIVI pale atakapotumwa kazi na kanisa hata kama ni nyeusi ila yeye ataitafsiri ni nyeupe....

"I will believe that the white that I see is black, if the hierarchical Church defines it as such.” -The Spirit Exercies of St. Ignatius, p. 141, -By Ignatius de Loyola.

Hili nimeliongelea sana...

Sasa tuangalie ni kina nani walimuua Abraham Lincoln...

Naye rais wa Marekani Abraham Lincoln akiwa anakifahamu chama cha Jesuits na kazi zao alisema kwamba🙁nitatafsiri kwa kiswahili)

“This War (Civil war) would never have been possible without the sinister influence of
the Jesuits. We owe it to popery that we now see our land reddened with the blood of her
noblest sons”…. “The mormon and the Jesuit priests are equally the uncompromising
ENEMIES of our Constitution and our laws; but the more dangerous of the two is the
Jesuit- the romish priest, for he knows better how to conceal his hatred under the mask of friendship and public deeds for the glory of God…. So many plots have already been made against my life, that it is a real miracle that they have all failed, when we consider that the great majority of them were in the hands of the skillful Roman Catholic murderers, evidently trained by Jesuits. But Can we expect that God will make a
perpetual miracle to save my life? I believe not. ..My escape from their hands, since the
letter of the pope to Jeff Davis has sharpened a million of daggers to pierce my breast,
would be more than a miracle. But just as the Lord heard no murmur from the lips of Moses when he told him that he had to die, before crossing the Jordan, for the sins of his people; so i hope and pray that he will hear no murmur from me when i fall for my nations sake. ..” (Abraham Lincoln)

Tafsiri yake...

“Vita hii isingewezekana kuwepo kama isingesababishwa na Jesuits. Tunamdai Papa sasa kwa kuona ardhi yetu ikienea damu za watu wake…” “Watu jamii ya mormon na makasisi wa shirika la Jesuit ni maadui wa katiba na sheria zetu; lakini kati ya hao wawili Jesuits ndio kundi hatari zaidi – kasisi wa rumi, maana anajua vizuri jinsi ya kuficha chuki yake katika mavazi ya urafiki na kufanya kazi za jamii kwa ajili ya utukufu wa Mungu….hivyo njama nyingi zimewekwa dhidi ya maisha yangu, ambapo ni muujiza kwamba wameshindwa, maana tunajua kwamba wengi wao walikuwa miongoni mwa wauaji wa Roman Catholic waliotumia akili nyingi, bila shaka wakiwa wamefundishwa na Majesuits. Lakini tutarajie kwamba Mungu ataendelea kufanya muujiza ili kuokoa maisha yangu? Siamini hivyo…kutoka kwangu mikononi mwao, tangu barua ya papa
kwenda kwa Jeff Davis imenoa makali ya mamilioni ya watesaji ili kupasua kifua changu, itakuwa zaidi ya muujiza nikitoka mikononi mwao. Lakini kama vile Bwana ambapo hakusikiliza manung`uniko ya Musa wakati alipomuambia kwamba atakufa kabla ya
kuvuka mto Yordani, kutokana na dhambi za watu wake; ndivyo nilivyo na matumaini na kuomba kwamba asisikie manung`uniko yangu nitakapoanguka kwa ajili ya taifa langu”.(Abraham Lincoln)


Yapata mwaka 1865, Abraham Lincoln aliuawa baada ya kuonekana kuwa anapiga
vita vyama vya siri. Katika historia ya taifa la Marekani wapo marais wachache sana
ambao walipinga uwepo wa vyama vya siri mmoja wao alikuwa Abrahm Lincoln. Hata
hivyo wapinzani wa vyama hivi wamekuwa wakikutana na vikwazo na hata kuuawa. Baada ya kugusia chama cha Jesuits sasa tuendelee na kuwaona Illuminati ambao chimbuko lao ni Jesuit Society. Ieleweke kwamba unapozungumzia Illuminati, unazungumzia ibada na utawala katika
jamii, kama vile mnyama wa namba 666 anavyojishughulisha na ibada na utawala.

Mmoja wa waumini wa Illuminati mwenye digrii 33 ambaye aliwahi kuwa kiongozi
mkuu wa Illuminati nchini Marekani Dr. Albert Pike, anasema, namnukuu:

“Every Masonic Lodge is a temple of religion, and its teachings are instruction in religion”
(Albert Pike, Morals and Dogma, P. 213.)

Tafsiri yake ni Kwamba “kila Loji (Jumba au kituo) ya Freemason ni hekalu la mambo ya dini, na mafundisho yake ni maagizo katika dini.”

Unapoingia kwenye Loji za Freemason utakuta kuna Biblia ya toleo la King James ikiwa
imewekwa juu ya madhabahu (Altare) ya Loji hiyo. Bw. Albert anaendelea kusema kwamba:

“Freemasonry is a search for Light. That search leads us directly back, as you see, to the Kabalah.” [Albert Pike, Morals and Dogma, p. 741]

Tafsiri yake ni Kwamba

“Kazi ya Freemason ni kutafuta nuru. Na kutafuta huko kunatufanya, kama unavyoona, tujielekeze Kabalah.”

Katika dini ya Uislamu kuna kitu kinachoitwa الكعبة yaani al Kabah huko Mecca Saud Arabia. Illuminati nao wana kitu kinachoitwa Kabalah.
8640050eacda91c968e6f67763850b80.jpg


Huko mbeleni katika Nyuzi zangu....panapo majaaliwa ...Nitaelezea zaidi uhusiano wa UISLAMU NA FREEMASON, NA UHUSIANO WA UISLAMU NA UKATOLIKI.


Wakati Jesuits wanayaita majumba yao ya kufundishia kwa jina la ‘Convent’ na wanaojiunga kuitwa ‘Novice’ Illuminati na freemason wanayaita majumba yao ‘Lodge’
na wanaojiunga katika digrii tatu za awali hutumia majengo yanayoitwa ‘Blue Lodge’.
Maana ya Illuminati ni “aliyepewa nuru” au kwa lugha ya kigeni “one who is
illuminated” au “the enlightened ones,” ikimaanisha “mtu aliyepokea nuru au ujuzi
mkubwa.”

Umewahi kusikia watu wanaoitwa “Jesuits”?

Kama umewahi kuwasikia,
tambua kwamba hao ndio waliomfundisha Adam Weishaupt, ambaye ndiye mwanzilishi
wa The Illuminati. Kwa maana nyingine, Illuminati ni mwanafunzi wa Jesuits.
Baada ya Adam Weishaupt kupata elimu yake kutoka kwa Jesuits, mwaka 1785 serikali ya Bavaria ikafunua mpango wa Weishaupt wa kuangamiza Ukristo na kutawala
serikali zote duniani.

Mpango huo ulipingwa vikali na serikali ya Bavaria na kulifukuza
kundi la Illuminati nchini humo. Hata hivyo huu haukuwa mwisho wa Illuminati, kama
wanahistoria wengi walivyoandika. Mipango ya Weishaupt ilichukuliwa na
kushughulikiwa kama mapinduzi yaliyo hatari katika nchi ya Ujerumani (Bavaria)peke
yake. Lakini kuna mataifa mengi ambayo Illuminati walikuwa wanafanya kazi na hivyoBserikali za mataifa hayo hazikujali tahadhari ya serikali ya Bavaria kuhusu Illuminati.

Baada ya miaka michache mpango wa kuangamiza Ukristo na kisha kutawala serikali
zote ulionekana kwa mara ya kwanza wakati wa mapinduzi ya Ufaransa. Nguvu kama
hiyo ya mapinduzi ilionekana tena huko Ujerumani ikiitwa “The Legue of the Just”
kukiwa na matawi yake huko London, Brusses, Paris na Switzerland. Wakati Napoleon
alipoingia madarakani, hakuvumilia vitendo vya Jacobin Clubs vilivyokuwa chini ya Illuminati hivyo akavifutilia mbali. Hata hivyo Illuminati waliendelea kufanya kazi kwa
jina lingine. Walifanya kazi kwa jina la “The Legue of the Just” ambapo “Karl Marx”alikuwa mfuasi. Alipewa kazi ya kurudia kwa kuandika kwa kina kile kilichoandikwa na Adam Weishaupt miaka sabini iliyopita.

Weishaupt alikufa mwaka 1830, lakini mipango yake ya mapinduzi iliendelezwa na
wafuasi wake ambao hadi leo wako kwenye hatua za mwisho za kukamilisha mipango hiyo ya kuhakikisha kwamba dunia yote inarudia imani ya kipagani na kumuabudu shetani.

Mwaka 1842 Karl Marx alianza kuandika propaganda za mapinduzi kwa ajili ya
“League of the Just”, akitumaini kusababisha machafuko. Mwaka 1844, akishirikiana na
Friedrich Engels, wakiwa chini ya usimamizi wa “The League of the Just”, Marx alianza
kuandika “Manifest der Kommunistichen Partei,” kinachojulikana kama “The Communist
Manifesto,” yaani “Ilani ya Ukomunist” iliyotolewa mwanzoni mwa mwaka 1848.
Baadaye, Illuminati wakiwa wanafanya kazi chini ya “The League of the Just,”
walibadilisha jina lao na kuitwa “The League of Communists”.


Wakomunist husherehekea May Mosi ikiwa ni kuzaliwa kwa harakati za mapinduzi
yao kwa sababu ilikuwa ni tarehe ya kuanzishwa kwa Illuminati iliyoanzishwa na Adam Weishaupt. Wasomi wengi wanajua kwamba Ukomunist ni dhana ambayo haikubali uwepo wa Mungu kama Biblia inavyoelezea.HAPA NIWAAMBIE UKWELI WALE WANAODAI MUNGU HAYUPO WANAINGIA KATIKA HILI KUNDI.......

Vivyo hivyo Illuminati ni wapinzani wakubwa wa Biblia maana wanatumiwa na Shetani ambaye ni adui wa Mungu na watu wake. Na sio kwa kubahatisha kwamba Wakomunist wote hutumia umbo la pentagram
(umbo la nyota yenye pembe tano) kama moja ya nembo yao.
00540eb1d166665ed88a108469791938.jpg



Pia sio kwa kubahatisha
kwamba Wakomunist hutumia neno RED katika kuelezea harakati za mapinduzi yao.
Familia ya “The Rothschild international banking” ambayo kwa takribani miaka 200
imekuwa na mafanikio huko Ulaya katika nyanja za uchumi na siasa, ilianzishwa na
Mayer Amschel Rothschild mnamo Feb. 23, 1744 huko Frankfurt Ujerumani. Alikuwa na
watoto watano na jina la familia lilitokana na RED SHIELD.

Ni Adam Weishaupt pamoja na familia ya “the House of Rothschild” ndio walioanzisha harakati hizi kwa sehemu zikiwa za kidini na kwa sehemu zikiwa ni za kisiasa kama zilivyotabiriwa katika unabii wa Yohana kuwa ni mnyama mwekundu sana atakayetoka katika shimo la kuzimu (yaani umizimu) Ufunuo 17:3,8.

Inaaminiwa kwamba Illuminati ni sehemu ya Freemason. Hawa Freemason, ambao ni
Illuminati, walichukua imani yao kutoka kwa “The Knights Templar”.


“The Knights Templar” kilikuwa ni kikosi cha kidini ambapo wafuasi wake walipata kuwa matajiri wakubwa kutokana ka kupewa ardhi na zawadi kutoka kwa wafalme wa nchi za Ulaya.
Kufikia miaka ya 1300 kikosi hiki cha Templars kilijiita kuwa ndio wamiliki wa Benki za Ulaya kutokana na utajiri mkubwa waliokuwa nao. Walikuwa na ndoto za kuwa matajiri wakubwa kiasi cha kuununua ulimwengu. Mfalme wa Ufaransa na Papa walianzisha msako wa kuwakamata The Knights Templar lakini Papa akawa na mashaka kutokana na jinsi mfalme alivyokuwa anaendesha msako ndipo Papa akaendelea kufanya msako bila kushirikiana na mfalme. Wakati wa msako huu kikosi hiki cha Templars kikaungama kosa lao kwa Papa na kujifanya kuwa Templars sasa wamekuwa Wakristo huku wafuasi wake wakificha imani yao ya kumuabudu Lucifa kama mungu wao.


Papa akawa amefanikiwa kukikomesha kikosi hiki lakini hakuwa amekikomesha kabisa
kwani hatimaye kiligeuka na kuwa Freemason huku jamii ikiwa inawaona Freemason
kuwa ni chama kizuri chenye malengo mazuri tu. ni kwa njia hii Adam Weishaupt aliyekuwa mwanachama wa Freemason alifanikiwa kuanzisha imani ya chama cha siri cha Illuminati ndani ya chama cha siri cha Freemason.





Sent using Jamii Forums mobile app
HGW umetuharibia ndugu zetu!Hebu ona huyu mjita anavyoongopa!
 
SIO PADRE ila alikua ni mkristo anko wake bi khadija anaitwa waraka bin naufal
Kulikuwa na mfumo unaitwa pope Bill ndo ilianzisha Islam
Jesuit walikuwa bado awajaanza .
Labda walikuja Ku support spread 1557.
Islam ilianzishwa na padre. Aliye mfundisha Muhammad injili.
Wataalamu waulize watakwambia.
Jesuit walikuwa awajaanza Ila Kuna makundi mengi ya Knights.
Miaka ya 600
i
 
SIO PADRE ila alikua ni mkristo anko wake bi khadija anaitwa waraka bin naufal

i
Tafuta sheikh aliyesoma Islamic History atkwambia Nan alimfundisha Muhamed Injili na Handwriting.
pia huyo padre ndo alimtabiria kuwa atakuwa mtume na mwanzilishi wa dini kubwa
 
Tafuta sheikh aliyesoma Islamic History atkwambia Nan alimfundisha Muhamed Injili na Handwriting.
pia huyo padre ndo alimtabiria kuwa atakuwa mtume na mwanzilishi wa dini kubwa
ndio nimekwambia alikua anaitwa waraqa bin naufal alikua mkristo ila sio padre
 
KWANINI MLIEDIT BIBLIA SASA TOKA VITABU 66-72?

UNADHANI MUNGU ANAPOJIITA ALFA NA OMEGA NI FASHENI TU? MUNGU ALISHAWAJUA VZR SN NINYI WAPINGA KRISTO WAKUU KUWA NI LAZIMA MTAKUJA KU-EDIT HIYO BIBLIA.

UFUNUO 22:18-20 "Namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mtu ye yote akiyaongeza, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.
19 Na mtu ye yote akiondoa lo lote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima, na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.
20 Yeye mwenye kuyashuhudia haya asema, Naam; naja upesi. Amina; na uje, Bwana Yesu."

ISAYA 10:1-2 "Ole wao wawekao amri zisizo za haki, na waandishi waandikao maneno ya ushupavu;
2 ili kumpotosha mhitaji asipate haki yake, na kuwanyang’anya maskini wa watu wangu haki yao; ili wajane wawe mateka yao, na kuwafanya yatima waliofiwa na baba zao kuwa mawindo yao!"

MUNGU KAWAONYA NINYI MUENDAO UPOTEVUNI KUWA OLE WENU MNAO-EDIT BIBLIA SABABU ALISHAWAJUA MIOYO YENU JINSI INAVYOMUWAKILISHA YULE shetani/ibilisi BABA WA UONGO.

SO ENDELEA KUNG'ANG'ANIA AMBACHO MUNGU KASHAKUKATAZA LAKINI SIKU YA HUKUMU HAUTASIMAMA NA HUYO PAPA/WAKALA WA shetani.





Sent using Jamii Forums mobile app

we hata historia ya Biblia huijui, ni nani aliye toa vitabu vya Biblia kutoka 72 mpaka 66, we kitabu unachotumia chenye 66 unakiona kimekamilika? hizo 66 ziko mbili ya tatu unaijua ilipo?
 
Huu upuuzi utaisha lini humu jamvini? Tunataka proofs ya hoja ila sio kuleta maneno maneno.
 
we hata historia ya Biblia huijui, ni nani aliye toa vitabu vya Biblia kutoka 72 mpaka 66, we kitabu unachotumia chenye 66 unakiona kimekamilika? hizo 66 ziko mbili ya tatu unaijua ilipo?
Noma
 
Hizi conspiracies za kitoto na zinawaandama wavivu wa kufikiri. Tumeshazielezea sana humu na kutoa fafanuzi mbalimbali lakini, kila amezeshwae sumu huja tena na thread akidhani ni habari mpya.
Nlikuwa sijajua km Ww ni pumbavu
Kias hichi
 
Back
Top Bottom