Vatican inamiliki dunia

Vatican inamiliki dunia

Embu jiulize kwanini wana tumia msalaba kama nembo yao? Ni jambo la kushangaza, na ni ukweli usioweza kuulizwa, kwamba kabla ya kuzaliwa kwa Kristo, na tena hata katika sehemu ambazo hazijawahi kuguswa na mafundisho ya kanisa, alama ya msalaba ilikuwa inatumika kama ni alama takatifu kwa miungu mitatu ya kipagani. Iweje hivi leo iwe nembo kuu ya ukristo?
alama ya msalaba ilikuwa inatumika kama alama ya miungu gan?
 
TL;DR.

Secular Humanism ndio dini inayotawala dunia kwa sasa. Dini, Mataifa, Familia, Mifumo; vyote vinakimbizwa mchakamchaka na Secular Humanism.
 
JUZI KENYATTA AKWENDA VATICAN
Pope Francis receives Kenya’s President Kenyatta

Pope Francis receives the President of the Republic of Kenya in private audience in the Vatican.

By Vatican News staff writer

Pope Francis received President Uhuru Muigai Kenyatta in private audience on Friday in the Vatican’s Apostolic Library.

A communique by the Holy See Press Office said that during the cordial discussions between the Pope and the President of the Republic of Kenya, the good existing bilateral relations were highlighted.

In particular, the two leaders spoke of the contribution of the Catholic Church to the good of Kenyan society, with special reference to the education and healthcare sectors.

Attention was also focused on the current situation of the country and the contribution it may make to multilateralism at both continental and international levels.

“Themes of common interest were also discussed, including the pandemic crisis in the region, climate change and the issue of refugees,” the press office statement read.

President Kenyatta subsequently met with Cardinal Secretary of State Pietro Parolin, accompanied by Archbishop Paul Richard Gallagher, Secretary for Relations with States.

cq5dam.thumbnail.cropped.750.422.jpg




Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hii issue ya Vatican kuunda shirika lake la kijasusui na kuidhibiti dunia inakwenda sambamba na maneno ya yesu aliposema.

''..............Ulimwengu unawachukia kwa sababu ninyi si wa ulimwengu huu na mimi nimewachagua kutoka katika ulimwengu.'' yohana 15:18

kwa maana hiyo Hii jesuit iliyo chini ya Papa haihusiani kabisa na Yesu , wapo pale kimaslahi ya Kiutawala ulee wa Kirumi uliozowea kuutawala Ulimwengu.

Tazama Qur-an inasema hapa.
2. Warumi wameshindwa.
3. Katika nchi iliyo karibu. Nao baada ya kushindwa kwao watashinda .
4. Katika miaka michache. Amri ni ya Mwenyezi Mungu kabla yake na baada yake. Na siku hiyo Waumini watafurahi.
7. Wanajua hali ya dhaahiri ya maisha ya dunia, na wameghafilika na Akhera.

Huyo papa anaendeleza ufalme wa Kiroma kwa kivuli cha Kanisa ,lakini wayafanyayo si yale ya Yesu kusimamisha Ufalme wao.
 
Yohana17:20''.........ili na wao wawe ndani yetu na ulimwengu upate kuamini ya kuwa wewe ulinituma.''

Jee Ulimwengu wa kikristo unaamini kuwa Yesi ametumwa Na Mungu?
Ulimwengu wa Kiislamu je unaamini Hivyo?
Anaye Muamini Mungu wa Bw.Yesu lazima Amuamini Munguwa Muhammad na hawezi kutofaitisha ,kwani mafundisho yao yana lingana na Mission yao ni moja .
Waamini wa Kweli wa Yesu na Muhammad hawawezi kuipupia dunia na anasa zake, kwa wao si wa Dunia hii,bali ile ijayo.
 
Back
Top Bottom