PostGE2025 Vatican News: The President of the Tanzanian Bishops’ Conference says Protesters were killed without mercy

PostGE2025 Vatican News: The President of the Tanzanian Bishops’ Conference says Protesters were killed without mercy

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Jaribu kutafuta mtu ambae wauaji walipita mtaani kwao, wakupe testimony’s zao on what transpired on their street, ndio utaelewa.

It doesn’t make sense the government would make such senseless orders to just shoot indiscriminately at houses whilst people have locked themselves indoors.

Nikikueleza mimi aitosaidia, tafuta watu ambao wauaji wamepita mtaani kwao wakuelezee wenyewe. Tena tafuta jamaa yako mtu mzima ambae sio muongo na ambae hana interest na siasa.

Trust me you’ll also conclude that doesn’t make sense; after hearing their stories. The only logical explanation at least with my limited reasoning; most likely others had different ulterior motive to conduct those atrocities.

Mind you, this doesn’t make Samia any less of the devil that she is.
Unaongelea serikali gani!? Hii ambayo inateka hadi vitoto kwa kuchoma picha na kucheza nyimbo tiktok wake up brother
 
Ndio maana huwa siamini kama yanayotokea ni mambo ya kisiasa.
Wanasihi sana waislam wawe makini sana kwenye hili wasije jichimbia kabuli lao wenyewe.
Kudadavua na kuelewa kwa undani mambo kama haya, elimu inahitajika sana, siyo kukurupuka tu na kuitisha press isiyo na kichwa wala miguu.

Yeyote yule anaye kunyima elimu huyo ni muuaji mkubwa sana, hapa waislam ndo walifeli sehemu kubwa sana kwenye huu uso wa dunia . 🤝
 
The more you listen to what transpired its fair to conclude; shooters had different orders from those of government.

Samia ni muuaji hilo halina ubishi, ila ni kama vile kuna watu walitumia hiyo fursa kuhakikisha unyama utakao tokea baada ya amri yake na Samia mwenyewe kuondolewa inakuwa raisi.

Kuna story za unyama ukisikiliza it doesn’t make sense kabisa, ni kama vile wauaji walikuwa na agenda nyingine ya kuhakikisha Samia na yeye abaki madarakani.

Wahuni sio watu waziri
Huo unyama unaoushangaa umefanyikaje ndiyo true colour ya huyo Samia wenu.
 
Huyo mastardcesh kule X ni muongo muongo sana! kama humjui!
Kama wewe ni mgeni kule mjini X huwezi kunielewa hapa.
Haisaidii cho chote! Na wala sina muda wa kukuelewa.

20251124_094200.png
 
Back
Top Bottom