MENERIKI II
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 679
- 1,396
Kwahiyo ni uwongo?Hakuna udini ni BAKWATA wanatumiwa na CCM kuwagawa wananchi.
Masheikh wanasema OIC,mahakama ya kadhi,ruzuku za kuendesha taasisi za kiafya na kielimu waislamu hatupewi sababu TEC/ wakristo hawataki na wanazuia.
Yaani ni upuuzi mtupu!
Hayo madai waislam wameanza leo?