PostGE2025 Vatican News: The President of the Tanzanian Bishops’ Conference says Protesters were killed without mercy

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unaongelea serikali gani!? Hii ambayo inateka hadi vitoto kwa kuchoma picha na kucheza nyimbo tiktok wake up brother
 
Ndio maana huwa siamini kama yanayotokea ni mambo ya kisiasa.
Wanasihi sana waislam wawe makini sana kwenye hili wasije jichimbia kabuli lao wenyewe.
Kudadavua na kuelewa kwa undani mambo kama haya, elimu inahitajika sana, siyo kukurupuka tu na kuitisha press isiyo na kichwa wala miguu.

Yeyote yule anaye kunyima elimu huyo ni muuaji mkubwa sana, hapa waislam ndo walifeli sehemu kubwa sana kwenye huu uso wa dunia . 🤝
 
Huo unyama unaoushangaa umefanyikaje ndiyo true colour ya huyo Samia wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…