Hakuna udini ni BAKWATA wanatumiwa na CCM kuwagawa wananchi.
Masheikh wanasema OIC,mahakama ya kadhi,ruzuku za kuendesha taasisi za kiafya na kielimu waislamu hatupewi sababu TEC/ wakristo hawataki na wanazuia.
Yaani ni upuuzi mtupu!
Ndugu hayo madai nani anapaswa kuyatolea maamuzi? Ni serikali ya CCM au TEC/wakristo?
Shida hapo BAKWATA wanatufanya waislamu kama vilaza wanadai TEC /wakristo hawataki..... Wakati hiyo BAKWATA iliundwa kimkakati ili kuwapumbaza waislamu