Kweli hii nchi? Au kikundi cha dini?Mifumo hutofautiana kutokana na uasili wa uundaji wa Taifa. Sisi uraia pacha hatutaki wakati nchi nyingine hawana shida!
Sasa nchi kwani huwa inatakiwa iwe na sifa zipi ambazo Vatican hawana?Kweli hii nchi? Au kikundi cha dini?
VATICAN NI NCHI KUMBE?Hii Vatican ni nchi?
Mfumo wake wa upigaji kura uko vipi? Yaani raia wake wanapiga kura kumchagua Rais
Kwa mfano Iran kuna Rais ambae ni kiongozi anaechaguliwa na raia wa Iran. Kuna Ayatollah Ali Khamenei, hachaguliwi kwa kura za wananchi moja kwa moja, bali huchaguliwa na chombo kinachoitwa Baraza la Wataalamu (Assembly of Experts – Majles-e Khobregan) cha Iran na sio nje ya Iran.
TUANGALIE NCHI YA VATICAN
VATICAN
Kiongozi wa Vatican, yaani Papa, anachaguliwa kwa mchakato wa kidini unaoitwa Conclave, unaofanywa na Makardinali wa Kanisa Katoliki duniani.
Idadi ya raia wa Vatican ni takribani 700 hadi 800 tu.
Hivi ndivyo mtu anavyoweza kuwa raia wa Vatican:
1. Kupitia ajira au kazi ya kidini:
Raia wengi wa Vatican ni maaskofu, makardinali, na watawa wanaofanya kazi kwa ajili ya Kanisa.
Pia hujumuisha walinzi wa Uswisi (Swiss Guards) wanaomlinda Papa.
2. Kwa kuteuliwa rasmi na mamlaka ya Vatican:
Mtu anaweza kupewa uraia kwa kuwa na jukumu maalum katika taasisi za Kanisa ndani ya Vatican.
Mara nyingi ni wa muda – unamalizika mtu anapoacha kazi yake huko.
3. Watoto wa raia wa Vatican:
Watoto wanaozaliwa Vatican hawapati uraia moja kwa moja. Raia wa Vatican hupatikana si kwa kuzaliwa, bali kwa kuteuliwa.
Mambo ya kipekee kuhusu raia wa Vatican:
Uraia huu hauwezi kurithiwa.
Mara nyingi, watu hao pia ni raia wa nchi nyingine — uraia wa Vatican haubadilishi uraia wa asili.
Watu wakiacha kazi au kuhama kutoka Vatican, uraia wao huondolewa.
Yes, Vatican City is a country, formally known as Vatican City State. It's the smallest independent nation in the world, located within Rome, Italy. Vatican City is an enclaved city-state, meaning it is completely surrounded by another country (Italy).VATICAN NI NCHI KUMBE?
Utakuja ufe na huo ugonjwa wako wa malaria. Badala ya kuumiza kichwa kuiwazia Vatican, huo muda ungeutumia kwa kumswalia Mtume wako Muhammad SAW ili siku moja uwe Swahaba wake.Hii Vatican ni nchi?
Mfumo wake wa upigaji kura uko vipi? Yaani raia wake wanapiga kura kumchagua Rais
Kwa mfano Iran kuna Rais ambae ni kiongozi anaechaguliwa na raia wa Iran. Kuna Ayatollah Ali Khamenei, hachaguliwi kwa kura za wananchi moja kwa moja, bali huchaguliwa na chombo kinachoitwa Baraza la Wataalamu (Assembly of Experts – Majles-e Khobregan) cha Iran na sio nje ya Iran.
TUANGALIE NCHI YA VATICAN
VATICAN
Kiongozi wa Vatican, yaani Papa, anachaguliwa kwa mchakato wa kidini unaoitwa Conclave, unaofanywa na Makardinali wa Kanisa Katoliki duniani.
Idadi ya raia wa Vatican ni takribani 700 hadi 800 tu.
Hivi ndivyo mtu anavyoweza kuwa raia wa Vatican:
1. Kupitia ajira au kazi ya kidini:
Raia wengi wa Vatican ni maaskofu, makardinali, na watawa wanaofanya kazi kwa ajili ya Kanisa.
Pia hujumuisha walinzi wa Uswisi (Swiss Guards) wanaomlinda Papa.
2. Kwa kuteuliwa rasmi na mamlaka ya Vatican:
Mtu anaweza kupewa uraia kwa kuwa na jukumu maalum katika taasisi za Kanisa ndani ya Vatican.
Mara nyingi ni wa muda – unamalizika mtu anapoacha kazi yake huko.
3. Watoto wa raia wa Vatican:
Watoto wanaozaliwa Vatican hawapati uraia moja kwa moja. Raia wa Vatican hupatikana si kwa kuzaliwa, bali kwa kuteuliwa.
Mambo ya kipekee kuhusu raia wa Vatican:
Uraia huu hauwezi kurithiwa.
Mara nyingi, watu hao pia ni raia wa nchi nyingine — uraia wa Vatican haubadilishi uraia wa asili.
Watu wakiacha kazi au kuhama kutoka Vatican, uraia wao huondolewa.
Yeah!... Vatican inalindwa na jeshi la Italy..Vatican ni nchi ndani ya mji ndani ya nchi.
Nafikiri Waitaliano wenzangu mtakuwa mmenielewa
Ugumu wake upo kwenye nini? Ukweli huwa unajisimamia. Vatican ni nchi na kama unataka kusema kuwa siyo nchi, basi toa sababu zenye kuakisi uhalisia kuhusu sifa za eneo kuwa nchi!Hii mada ngumu.
Wanatoaga na passport?Hii Vatican ni nchi?
Mfumo wake wa upigaji kura uko vipi? Yaani raia wake wanapiga kura kumchagua Rais
Kwa mfano Iran kuna Rais ambae ni kiongozi anaechaguliwa na raia wa Iran. Kuna Ayatollah Ali Khamenei, hachaguliwi kwa kura za wananchi moja kwa moja, bali huchaguliwa na chombo kinachoitwa Baraza la Wataalamu (Assembly of Experts – Majles-e Khobregan) cha Iran na sio nje ya Iran.
TUANGALIE NCHI YA VATICAN
VATICAN
Kiongozi wa Vatican, yaani Papa, anachaguliwa kwa mchakato wa kidini unaoitwa Conclave, unaofanywa na Makardinali wa Kanisa Katoliki duniani.
Idadi ya raia wa Vatican ni takribani 700 hadi 800 tu.
Hivi ndivyo mtu anavyoweza kuwa raia wa Vatican:
1. Kupitia ajira au kazi ya kidini:
Raia wengi wa Vatican ni maaskofu, makardinali, na watawa wanaofanya kazi kwa ajili ya Kanisa.
Pia hujumuisha walinzi wa Uswisi (Swiss Guards) wanaomlinda Papa.
2. Kwa kuteuliwa rasmi na mamlaka ya Vatican:
Mtu anaweza kupewa uraia kwa kuwa na jukumu maalum katika taasisi za Kanisa ndani ya Vatican.
Mara nyingi ni wa muda – unamalizika mtu anapoacha kazi yake huko.
3. Watoto wa raia wa Vatican:
Watoto wanaozaliwa Vatican hawapati uraia moja kwa moja. Raia wa Vatican hupatikana si kwa kuzaliwa, bali kwa kuteuliwa.
Mambo ya kipekee kuhusu raia wa Vatican:
Uraia huu hauwezi kurithiwa.
Mara nyingi, watu hao pia ni raia wa nchi nyingine — uraia wa Vatican haubadilishi uraia wa asili.
Watu wakiacha kazi au kuhama kutoka Vatican, uraia wao huondolewa.
Ile NI nchi ndogo ya kikatoliki, hao wengine unafikiri watatoka wapi? Yani Vatican Ni Headquarter ya ROMAN CATHOLIC na inajitegemea kama nchi, nchi ya kanisa katolikiHivi Vatican kuna makanisa mengine kama Wasabato na Misikiti huko?