comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Wanatumia Euro pia kama nchi nyingne za ulayaNaomba PICHA ya bendera ya nchi ya Vatican na picha ya PESA yao.
KAZI ni kipimo cha utu
Wanatumia Euro pia kama nchi nyingne za ulayaNaomba PICHA ya bendera ya nchi ya Vatican na picha ya PESA yao.
KAZI ni kipimo cha utu
Naomba PICHA ya bendera ya nchi ya Vatican na picha ya PESA yao.
KAZI ni kipimo cha utu
Naomba PICHA ya bendera ya nchi ya Vatican na picha ya PESA yao.
KAZI ni kipimo cha utu
Asante kwa taarifaIle NI nchi ndogo ya kikatoliki, hao wengine unafikiri watatoka wapi? Yani Vatican Ni Headquarter ya ROMAN CATHOLIC na inajitegemea kama nchi, nchi ya kanisa katoliki
👍Asante kwa taarifa
Ilipata Uhuru wake mwaka 1929 kutoka Italy kwa hiyo Vatican city ni nchi.Hivi vatican n nchi? Sijawahi kusoma popote pale nchi inayoitwa vatican ila najua ni mji.
all vaticans are italians ,,, an not all italians are vaticans ---- nishawahi sikia huo msemoVatican ni nchi ndani ya mji ndani ya nchi.
Nafikiri Waitaliano wenzangu mtakuwa mmenielewa
Labda alitaka iandikwe kwenye Guinness Book Records ya Masjid Manyema pale Lumumba na Mafia Street mwandishi akiwa swahiba wake Mohammed Said mwenyewe anapenda kumuita akhi.Kwani haipo ?
Vatican City is recognized in the Guinness World Records as the smallest sovereign state in the world by both area and population.
Wenyewe waiite nchi wewe uje na habari za Matejoo kwa wavuta bangi?Nchi gani ina watu 800 hata Arusha mtaa wa Matejoo una watu wengi, hicho ni kikundi cha kikatoliki tu
Hamna nchi hapo tena hao wattu 800 ni ukijumlisha na wageni ila wenyewe kabisa ni 300 tu kwahiyo ni kamtaa , Papa wa Vatican hana tofauti na Madee Rais wa Manzese , tena Rais wa Manzese Madee ana wananchi wengi kuliko VaticanWenyewe waiite nchi wewe uje na habari za Matejoo kwa wavuta bangi?
Umeshapuliza kijiti au siyo?
Sawa wewe unasema hamna nchi wao wanakwambia ni nchi unadhani wewe na wao nani mwenye akili zaidi?Hamna nchi hapo tena hao wattu 800 ni ukijumlisha na wageni ila wenyewe kabisa ni 300 tu kwahiyo ni kamtaa , Papa wa Vatican hana tofauti na Madee Rais wa Manzese , tena Rais wa Manzese Madee ana wananchi wengi kuliko Vatican
A country is a geopolitical entity, generally defined as a sovereign state, with its own government, territory, and people. It's a distinct territory with defined borders and boundaries, often synonymous with a nation. While most countries are sovereign states, some may be parts of larger states.Hamna nchi hapo tena hao wattu 800 ni ukijumlisha na wageni ila wenyewe kabisa ni 300 tu kwahiyo ni kamtaa , Papa wa Vatican hana tofauti na Madee Rais wa Manzese , tena Rais wa Manzese Madee ana wananchi wengi kuliko Vatican
Haikua rushwa ya dikteta mmoja wa kitaliano?Vatican ni nchi ndani ya mji ndani ya nchi.
Nafikiri Waitaliano wenzangu mtakuwa mmenielewa
There are no mosques within Vatican City. Vatican City is the only country in the world with zero Muslim population. While the Vatican is a small territory, it is exclusively dedicated to Catholicism 😡Christian Protestants na Muslims hawatakiwi Vatican cityYes, Vatican City is a country, formally known as Vatican City State. It's the smallest independent nation in the world, located within Rome, Italy. Vatican City is an enclaved city-state, meaning it is completely surrounded by another country (Italy).
Here's a more detailed explanation:
- Sovereign State:
Vatican City is recognized as a sovereign state, meaning it has its own government, territory, and citizens.
- Head of State:
The Pope is the head of state of Vatican City.
- Independence:
The Vatican's independence was recognized by the Lateran Treaty of 1929, which established Vatican City as an independent state.
- Unique Characteristics:
Vatican City is unique because it is the smallest country in the world, and it's also the only country to be entirely designated as a World Heritage site.
- Functions of a State:
Vatican City, while small, functions as a country with its own currency, postage, passports, and license plates.
- Holy See:
Vatican City is the seat of the Holy See, the central governing body of the Roman Catholic Church.
- Diplomacy:
While Vatican City doesn't have its own diplomatic relations, the Holy See manages its foreign affairs.
Hata Madee ni Rais wa Manzese anaweza kuanzisha serekali isiyo na kichwa wala miguu ya manzeseA country is a geopolitical entity, generally defined as a sovereign state, with its own government, territory, and people. It's a distinct territory with defined borders and boundaries, often synonymous with a nation. While most countries are sovereign states, some may be parts of larger states.