Vatican ni nchi ya ajabu sana duniani. Inatakiwa iingizwe E Guinness World Records

Ninachowapenda hawa jamaa NI misimamo Yao na uongozi, kanisa Lina Zaid ya miaka elfu3 lakn wanasimama vilevile na uongozi umenyooka, na ndio maana hata Waliosoma shule za seminari za kikatoliki wanakua na kaliba ya uongozi, na ndio maana naskia Tanzania Rais mkristo lazima awe Mkatoliki kama ilivyokua Kwa Nyerere,Mkapa na magufuli
 
Kwani haipo ?

Vatican City is recognized in the Guinness World Records as the smallest sovereign state in the world by both area and population.
 
Swiss Guards ..... hawa wako hadi Tanzania .... kuanzia jumuiya ndogo ndogooo....kanda...parokia...taifa etc

Dola la Vatican ... linakaribiana na ulinzi wa TZ
 
Vatican ni nchi ndani ya mji ndani ya nchi.

Nafikiri Waitaliano wenzangu mtakuwa mmenielewa
all vaticans are italians ,,, an not all italians are vaticans ---- nishawahi sikia huo msemo
 
Kwani haipo ?

Vatican City is recognized in the Guinness World Records
as the smallest sovereign state in the world by both area and population.
Labda alitaka iandikwe kwenye Guinness Book Records ya Masjid Manyema pale Lumumba na Mafia Street mwandishi akiwa swahiba wake Mohammed Said mwenyewe anapenda kumuita akhi.
 
Wenyewe waiite nchi wewe uje na habari za Matejoo kwa wavuta bangi?

Umeshapuliza kijiti au siyo?
Hamna nchi hapo tena hao wattu 800 ni ukijumlisha na wageni ila wenyewe kabisa ni 300 tu kwahiyo ni kamtaa , Papa wa Vatican hana tofauti na Madee Rais wa Manzese , tena Rais wa Manzese Madee ana wananchi wengi kuliko Vatican
 
Sawa wewe unasema hamna nchi wao wanakwambia ni nchi unadhani wewe na wao nani mwenye akili zaidi?

Kingine huyo madee hapo Manzese ni rais wa wa kina nani?
 
Hamna nchi hapo tena hao wattu 800 ni ukijumlisha na wageni ila wenyewe kabisa ni 300 tu kwahiyo ni kamtaa , Papa wa Vatican hana tofauti na Madee Rais wa Manzese , tena Rais wa Manzese Madee ana wananchi wengi kuliko Vatican
A country is a geopolitical entity, generally defined as a sovereign state, with its own government, territory, and people. It's a distinct territory with defined borders and boundaries, often synonymous with a nation. While most countries are sovereign states, some may be parts of larger states.
 
There are no mosques within Vatican City. Vatican City is the only country in the world with zero Muslim population. While the Vatican is a small territory, it is exclusively dedicated to Catholicism 😡Christian Protestants na Muslims hawatakiwi Vatican city
 
Hata Madee ni Rais wa Manzese anaweza kuanzisha serekali isiyo na kichwa wala miguu ya manzese
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…