Vatican ni nchi ya ajabu sana duniani. Inatakiwa iingizwe E Guinness World Records

Utakuja ufe na huo ugonjwa wako wa malaria. Badala ya kuumiza kichwa kuiwazia Vatican, huo muda ungeutumia kwa kumswalia Mtume wako Muhammad SAW ili siku moja uwe Swahaba wake.
Nakuelimisha wewe kafiri utoke ktk ukafiri ili uone nuru
 
0 Muslim kwa sababu ni kikundi cha dini kilichojikusanya pamoja
 
Nakuelimisha wewe kafiri utoke ktk ukafiri ili uone nuru
Siyo kwamba unawashwa washwa tu na mambo yasiyo kuhusu!

Badala ya kuwaelimisha ndugu zako juu ya uhuni mnaofanyiwa na Saudi Arabia kwa miaka nenda, wa kuwalazimisha kutafuta hela kwa namna yoyote ile, ili mkafanye utalii wa lazima kwenye Miji yao maarufu ya kitalii ya Mecca na Madina; unielimishe mimi ninayeifahamu historia ya huo mji wa Vatican tangu ulipokabidhibiwa na Benito Musolini kwa Papa wa wakati huo!! Wewe utakuwa ni mwehu.
 
Vatican n mtawala Roman empire will regein its power again so soon.......lkn this time atamtumia USA kama atakavyo kutekeleza matakwa yake.
 

Attachments

  • Screenshot_20250426-103158_Biblia.jpg
    32.4 KB · Views: 17
Hamna nchi hapo tena hao wattu 800 ni ukijumlisha na wageni ila wenyewe kabisa ni 300 tu kwahiyo ni kamtaa , Papa wa Vatican hana tofauti na Madee Rais wa Manzese , tena Rais wa Manzese Madee ana wananchi wengi kuliko Vatican
Leo viongozi maarufu wa dunia wapo Vatican.
 
Vatican n mtawala Roman empire will regein its power again so soon.......lkn this time atamtumia USA kama atakavyo kutekeleza matakwa yake.
Marekani hiihii inayopoteza ushawishi duniani kila siku?
 
Naomba kufafanuliwa kwanini papa hulindwa tu na walinzi wa swisi na wala si walinzi kutoka nchi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…