Vatican: Papa Francis asema hali ya Papa Benedict XVI ni mbaya, aomba watu wamwombee

Vatican: Papa Francis asema hali ya Papa Benedict XVI ni mbaya, aomba watu wamwombee

Mtu ako na over 94 years of age, unamuombea afya njema ili iweje?
 
The greatest teacher of our times is on his last moment on earth! Unajua kwa ambao si wafuatiliaji wa mambo hawajui lakini huyu mwamba ni mwalimu wa Kikristo asiye mfano kwa generations hii.

Praying for you brother in Christ!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kabisa huyu jamaa kwangu alikuwa the best ever, highly intelligent & smart
 
umuombee nin wakati kiwango cha kuishi alichokiweka Mungu ameshakivuka,

unataka umuombee ili aendelee kuwa hai mixa mateso ya magonjwa.
 
umuombee nin wakati kiwango cha kuishi alichokiweka Mungu ameshakivuka,

unataka umuombee ili aendelee kuwa hai mixa mateso ya magonjwa.
Anaombewa apone maradhi yanayomsumbua,haombewi ili asife coz kila kiumbe chenye uhai ni lazima kitaonja umauti.
 
Yeye si ndo yupo Karibu zaidi na mungu, si amwombe amwepushie kikombe AU ampe cha maziwa.
Wameondoka Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi; wakaondoka mitume, manabii, walimu, na mashahidi ndio itakuwa Joseph Ratzinger? Tumwombee afya njema.
 
Alizaliwa mwaka 1927 nchini Ujerumani kama Joseph Ratzinger, Papa Benedict XVI amekuwa mkuu wa Kanisa Katoliki tangu Aprili 2005.

Mwandishi mahiri, mwanatheolojia na profesa wa chuo kikuu, Ratzinger aliwahi kuwa "mtaalam" katika Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatikani, na alichaguliwa katika 1977 na Papa Paulo VI kuongoza Jimbo kuu la Ujerumani la Munich na Freising.

Mnamo mwaka wa 1981, Papa John Paul II alimwita Roma ili kuongoza Shirika la Vatican la Mafundisho ya Imani, ambako alihudumu hadi kuchaguliwa kwake papa.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Joseph Ratzinger atavishwa taji tunaamini! Pamoja amekuwa mbali na public toka ajiuzuru lakini alikuwa kwenye maombi yasiyokoma juu ya ulimwengu. Ni shujaa wa imani [emoji120]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom