"sema: anayemfanyia uadui Jibril (anajisumbua), hakika yeye (jibril) ameiteremsha (QUR-AN) moyoni mwako kwa idhini ya Allah, inayosadikisha yale yaliyokuwa kabla yake na ni uongofu na bishara ya waumini" aya hii tukufu imeshuka ikiwa ni jibu kwa kauli iliyosemwa na MAYAHUDI ya kwamba wamejiepusha na kujizuwia kuyaamini yaliyoteremshwa kwa mtume Muhammad (swallallahu alayhi wa sallam). na wakatoa sababu inayowafanya wasiamini yanayoteremshwa kwa mtume wa Allah kuwa ni kwa kuwa wao ni maadui wa malaika Jibril anayeteremka na wahyi/ufunuo kwa mtume wa Allah. hivyo katika aya 97-98 Allah akawajibu MAYAHUDI kuwa wanajisumbua kama wewe unaesoma aya za Allah (subhaanahu wa taalah) kama kipeperushi chenu BIBILIAUnaleta maneno ya kitabu ambacho kimeletwa na adui wa Jibril hahahaha ambaye ni iblis. Hahahaha so uislam ni dini yake Iblis.
Quran 2:97
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha (2:97)