Vatican yawatenga na kuwaondoa kundini Wakatoliki wa SSPX wenye msimamo mkali.

Vatican yawatenga na kuwaondoa kundini Wakatoliki wa SSPX wenye msimamo mkali.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Papa Leo XIV amewandoa kundini na kuwanyang'anya Sacramenti zote Wakatoliki wa SSPX wenye makao makuu Switzerland baada ya kuwasimika Maaskofu wanne wapya wa order yao kinyume na katazo la papa Leo.

SSPX ni Wakatoliki wanaoshikilia msimamo mkali na WA kale zaidi wa dini wakiendesha misa zao Kilatini na kupinga kutumika kwa lugha nyingine kwenye misa, wanapinga mashirikiano ya kidini na imani nyingine za kidini zisizo za kikatoliki na pia wanapinga mabadiliko ya usasa ndani ya Kanisa wakidai yanaharibu imani ya Kikatoliki.
20260702_175705.jpg
20260702_175558.jpg
 
Upuuzi tu,kuna walichokuwa wanafaidi kimaisha kwamba watapungukiwa?!!
Huko ukiwa mjinga ndiyo utaliwa.
 
Back
Top Bottom