Vazi la Khanga kwa wadada wa Kitanzania linavutia

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Vazi la Khanga ama kitenge kwa wadada wa Kitanzania li zuri linavutia - Linaonyesha uzuri alionao msichana wa kitanzania - tulipitishe liwe la kitaifa kwa wadada wetu!!
















 

Attachments

  • 1560844586206.png
    166.8 KB · Views: 221



Khanga bwana, achana nayo kabisa !! Ni vazi unaeza kulitumia kuoga badala ya Tauro, unaweza kulitumia kupumzikia hapo nyumbani na hata unaweza kulitumia ukitoka!! inategemea tu wewe unatakaje.
 
Hahah mkuu umekuja kuponda au kusifia😂😂😂 kumbuka unaposifia ubwabwa automatically unapondea ugali, sasa niulize wale wengine wanavaa khanga halafu mtu anauliza nani kaanika khanga pale😂 ni haki kweli?
 
Ze Wife hapo anakuna nazi, mzee mzima lazima usogee jikoni alaaa !! - Sasa hapo eti utoke unakwenda wapi kwa mfano?? eti mpira ha ha ha ni humo humo ndani.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…