Vazi la Khanga kwa wadada wa Kitanzania linavutia

Vazi la Khanga kwa wadada wa Kitanzania linavutia

[emoji23][emoji23][emoji23] yaani kujifunga mtandio niwe nao makini maana naweza kuwa nimefika ITV mtandio umedondokea Mwenge haa haaa
Aisee mtu kawewe burudani sana kuangaliwa ukiwa unapita huku huku.
 
KHANGA utaipenda pale MREMBO awe ametupia VAZI la KHANGA kisha akanyeshewa na MVUA.

Nakuambia ni hatari sana
 
Back
Top Bottom