Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Nimegundua ile vita ya madawa ya kulevya kuna Watu wanateseka juu ya jasiri MAKONDA
Hivi wewe mbona akili ka mtondoo!!? Watu wanakemea ujinga we unakuja na mashudu iweje mtu asemwe yeye tu!!? Hawasemwi akina Mtaka mbona?? Mrisho gambo ashaona mbele na kuachana na mikwaruzano na walimwengu maana madhara yake ni makubwa mno
 
Makamanda wa CHADEMA si Watu ni Nyumbu!!!!
 
Anatutia aibu wasukuma by the way cocochanel anasemaje kwa hili?
Sana mkuu yaani watu sasa ndio wanaanza kuwajua wasukumwa na kwamba wanajifanya wapole ila wakipewa nafasi wanakuwa wakatili mno, sasa kila mtu atajihadhari nao. Hata jiwe amewaaibisha watu wake sana.
 
Ni "washamba" naturally. 😁😁
 
Sana mkuu yaani watu sasa ndio wanaanza kuwajua wasukumwa na kwamba wanajifanya wapole ila wakipewa nafasi wanakuwa wakatili mno, sasa kila mtu atajihadhari nao. Hata jiwe amewaaibisha watu wake sana.
Nime huzunika sana tunaonekana malimbukeni mjini huku
 
Mambo yake muachieni wenyewe...

Hata mbele za kukagua gwaride la askari anaweza vaa vyovyote anavyoamua mwenyewe...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom