Nyakibimbili
Senior Member
- May 4, 2019
- 185
- 286
Hivi wewe mbona akili ka mtondoo!!? Watu wanakemea ujinga we unakuja na mashudu iweje mtu asemwe yeye tu!!? Hawasemwi akina Mtaka mbona?? Mrisho gambo ashaona mbele na kuachana na mikwaruzano na walimwengu maana madhara yake ni makubwa mnoNimegundua ile vita ya madawa ya kulevya kuna Watu wanateseka juu ya jasiri MAKONDA