Vazi la Taifa naomba liwe kanga kwa mtindo wa uvaaji kama wenzetu Hindu

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,446
Reaction score
1,645
Habari Tanzania !

Nimeweka mfano wa picha kwa msaada wa tehama.
Mnaonaje tukiwa tunavaa hivi wanaume kwa wanawake kama vazi rasmi la utambulisho kitaifa.

Asante.
 
Attachments

  • 1767078142952.jpg
    1767078142952.jpg
    226.6 KB · Views: 26
Kwa baadhi ya watu, watapata Maji Dar es Salaam kupitia Vazi la Taifa.
Vazi la Taifa haiwezi kuwa agenda
Vazi ni utamaduni ambao hautaki hamasa yoyote
Ni ngumu TANZANIA yenye makabila zaidi ya 150 kuwa na vazi 1.
Sisi hitaji letu ni huduma Bora za afya, barabara, elimu, maji safi, ajira za vijana n. K
 
Karibu Mwanza kwenye Kongamano la March 2026. Tutakupa mtaji na eneo la kuwekeza Mkoa wa Mwanza.
 
Vazi la Taifa haiwezi kuwa agenda
Vazi ni utamaduni ambao hautaki hamasa yoyote
Ni ngumu TANZANIA yenye makabila zaidi ya 150 kuwa na vazi 1.
Sisi hitaji letu ni huduma Bora za afya, barabara, elimu, maji safi, ajira za vijana n. K
Yaani wewe mawazo yako yote leo hii unazungumzia Ukabila ?

Huo ukabila una nini kwani au una maana gani ?

Nikuulize hata sasa Kabila lako lina umuhimu gani kwenye Taifa nje na huko utokako? Achaneni na mawazo mabaya kama hayo.
 
Nakupuuza
 
Akili yako ni ndogo mno
Unajibu hoja kama layman
Sasa siwezi Fanya mjadala na mambumbumbu
Basi sawa haina shida.
Mimi sio muumini wa mambo ya ajabu na sipendi kuvaa viatu vya kujiona bora kuliko wengine.
 
Back
Top Bottom