Vazi la Taifa Nchi ya fiji linatia mashaka Sket kwa wanaume 🤔

Vazi la Taifa Nchi ya fiji linatia mashaka Sket kwa wanaume 🤔

Ingekuwa huku kwetu lingewapendeza sana baadhi ya viongozi.

Nchemba angeshona sketi ya bendera ya taifa.

Bashite angetoa udenda wanaume wenzie wengi ndani ya sketi yake.

Sivuti picha Wasira ndani ya sketi.

Msukuma angekuwa kama katundikwa kwenye hanger ya waya😃😃😃
 
Na
Ndo uwe na kitambi uvae sketi upite kitaani watoto wa uswazi watajua jimama la kichaga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nape Nnauye ndani ya sketi. Angeivalia chini ya tumbo😃😃😃
 
Halafu zamani wanaume vazi lilikua sketi na magauni. Wanawake ndio suruali zile za kipunjab
 
Hata msuli ni sketi ndefu kwa sisi watu wa Pwani. Sema raisi kavaa mini skirt.
 
Ingekuwa huku kwetu lingewapendeza sana baadhi ya viongozi.

Nchemba angeshona sketi ya bendera ya taifa.

Bashite angetoa udenda wanaume wenzie wengi ndani ya sketi yake.

Sivuti picha Wasira ndani ya sketi.

Msukuma angekuwa kama katundikwa kwenye hanger ya waya[emoji2][emoji2][emoji2]
Hilo vazi kwa wabantu litaleta shida maana wanaume wengi huku wanarithi kutoka kwa mama/shangazi zao. Sasa ikitokea mama/shangazi analo halafu unalivalia skirt. Maana hata wengine kwenye kanzu linajichora[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mjomba ni mama.
1679984731529.png
 
Back
Top Bottom