Vazi la Taifa Nchi ya fiji linatia mashaka Sket kwa wanaume 🤔

Vazi la Taifa Nchi ya fiji linatia mashaka Sket kwa wanaume 🤔

Hivi sisi vazi letu la asili ni lipi?
Shuka? Kanga? Maana utaona mwanaume asubuhi kavaa kanga

Ila naona kila Taifa lina mavazi ya asili ila letu mimi sioni zaidi ya wamasai na vazi lao tu

Wengine tumeacha mavazi ya asili
 
Back
Top Bottom