Vazi la Taifa Nchi ya fiji linatia mashaka Sket kwa wanaume πŸ€”

Ingekuwa huku kwetu lingewapendeza sana baadhi ya viongozi.

Nchemba angeshona sketi ya bendera ya taifa.

Bashite angetoa udenda wanaume wenzie wengi ndani ya sketi yake.

Sivuti picha Wasira ndani ya sketi.

Msukuma angekuwa kama katundikwa kwenye hanger ya wayaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Na
Ndo uwe na kitambi uvae sketi upite kitaani watoto wa uswazi watajua jimama la kichaga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nape Nnauye ndani ya sketi. Angeivalia chini ya tumboπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Halafu zamani wanaume vazi lilikua sketi na magauni. Wanawake ndio suruali zile za kipunjab
 
Hata msuli ni sketi ndefu kwa sisi watu wa Pwani. Sema raisi kavaa mini skirt.
 
Hilo vazi kwa wabantu litaleta shida maana wanaume wengi huku wanarithi kutoka kwa mama/shangazi zao. Sasa ikitokea mama/shangazi analo halafu unalivalia skirt. Maana hata wengine kwenye kanzu linajichora[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mjomba ni mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…