Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Mar 29, 2023 #21 Hivi sisi vazi letu la asili ni lipi? Shuka? Kanga? Maana utaona mwanaume asubuhi kavaa kanga Ila naona kila Taifa lina mavazi ya asili ila letu mimi sioni zaidi ya wamasai na vazi lao tu Wengine tumeacha mavazi ya asili
Hivi sisi vazi letu la asili ni lipi? Shuka? Kanga? Maana utaona mwanaume asubuhi kavaa kanga Ila naona kila Taifa lina mavazi ya asili ila letu mimi sioni zaidi ya wamasai na vazi lao tu Wengine tumeacha mavazi ya asili
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 6,438 Reaction score 10,180 Mar 29, 2023 #22 mugah di matheo said: Hivi mashariki ya Kati wanaume si wanavaa magauni zisizo na marinda? Click to expand... Wenyewe wanaita Msuli
mugah di matheo said: Hivi mashariki ya Kati wanaume si wanavaa magauni zisizo na marinda? Click to expand... Wenyewe wanaita Msuli
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 6,438 Reaction score 10,180 Mar 29, 2023 #23 weed said: Duh,mbaya ni kama dume liwe limebarikiwa kitako mbinuko?livae sketi tena? Click to expand... Kwani kwenye msuli huwa inakuwaje?
weed said: Duh,mbaya ni kama dume liwe limebarikiwa kitako mbinuko?livae sketi tena? Click to expand... Kwani kwenye msuli huwa inakuwaje?