Vazi La Utata La Lulu Michael Lililogeuka Gumzo Mitaani

Vazi La Utata La Lulu Michael Lililogeuka Gumzo Mitaani

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Mwanadada Lulu Michael ambaye pia ni staa katika Bongo Movies ni mwanamke anayependa kupiga picha mara kwa mara huku akionyesha style mpya ya nguo zake ama mtindo mpya wa nywele zake.

Staa huyu ambaye anapendwa na wengi wakati huu ameamua kuingia na style mpya kabisa. Ameamua kuonyesha ulimwengu kuwa anaweza kuvaa nguo za tetesi hata kuishinda ile nguo ya Wema Sepetu ya nusu uchi. Lulu ameamua kuvaa nguo isiohitaji kuvaa chupi na inaonyesha sehemu zote kuanzia mapajani hadi karibu na kwa matiti sehemu za upande.

Stori: bkuHABARI Blog
 
Kwani ni lazima kuvaa chupi??
Eh saa nyingine watu wanahitaji wasibanwebanwe bana
 
chupi huwa sio lazima , kuna mijibaba inafunga kanga tu inaondoa, hata kwa wakian mama zinawaletea fungus, hongera zako kwa kutambua kuwa dar joto kali sana .
 
Hamjui kama fyupi fimepigwa marufuku?
Finaleta kansa ya Ngozi.

"Nlikuwepo":bolt:
 
hahaha Matola unaniachaga hoi looh

Kuna mijitu inabore sana hapa, muda si mrefu nilikuwa naangalia USA top model kipindi hiki kinaendeshwa na Tyra banks wale mabinti wanavaa huku ukiwaona wanavaa bikini zao huku unaona kasoro papuchi tu ndio uoneshwi, sasa ingekuwa hapa kwetu hawa vilaza wa JF si wangepeleka hoja hadi bungeni?

Halafu nawashangaa sana wabongo kwa unafki ukienda swimming pool wote tunavaa swimming dress mbona hawaji na suti na mibaibui yao tuone hayo maadili waliyonayo?
 
Mwanadada Lulu Michael ambaye pia ni staa katika Bongo Movies ni mwanamke anayependa kupiga picha mara kwa mara huku akionyesha style mpya ya nguo zake ama mtindo mpya wa nywele zake.

Staa huyu ambaye anapendwa na wengi wakati huu ameamua kuingia na style mpya kabisa. Ameamua kuonyesha ulimwengu kuwa anaweza kuvaa nguo za tetesi hata kuishinda ile nguo ya Wema Sepetu ya nusu uchi. Lulu ameamua kuvaa nguo isiohitaji kuvaa chupi na inaonyesha sehemu zote kuanzia mapajani hadi karibu na kwa matiti sehemu za upande.

Stori: bkuHABARI Blog

Sijaona nguo ya ndani jamani!!!

au kwa vile dar es salaam kuna joto sana?
 
Back
Top Bottom