Vazi la waziri limeharibu kabisa siku yangu

anatia majaribu yeye kama kio kwa jamii hatakiwi kuva nguo kama hii inaonyesha nini kicho ndani
 
Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.
Ila kukatia kiunoni kushuka chini yuko vizuri, hivi hana watoto wa kike huyu? Natamani niwaone hao maana si wanasema mtoto wa snake ni nyoka?
 
Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.

Huyo meja kushoto hapo hoooi kabisa kwa mahipsi ya mheshimiwa, ona anavyoyakodolea mimacho!
 
huyo mama ana mwanamke nyonga na hajajua kwamba anatakiwa aache kuvaa pichu(kufuli) badala yake avae gstring au boxer kabsa ila hips yake ndo inafanya pichu ionekane hadi hadharani lol pole mama
 
CCM bwana....Mzee huyu nae anatuonyesha zana zake!

3.+Balozi+wa+China+na+Katibu+Mkuu+wa+CCM.jpg
 
Nashauri pia Mawaziri na vionozi waandamizi wa chama na serikali wawe na utamaduni huu wa uvaaji wa magamba. Wasiogope kuzomewa

Magamba.jpg
 
Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.

hahahahaaaa.... Mwanamke Pisto etiiiiii...haswa ukiwa nazo....Lol!!
 
Tobaaa jamani ch***i za kichina hizi zinaumbuaaaaaa...........
Pole sana uliyeharibiwa siku....ila sijui ulikuwa watafuta nini maeneo hayo jamani...lols!
Wajf muwe mnawakagua wake zenu wanapotoka asubuhi, ili kama kuna hitilafu unamrudisha ndani fastaaa...........
 
Acheni utani nyie... Hizo bastola ndo zimempa uwaziri...
 
Huyu ni waziri wa habari na michezo alafu ni Dr. si unajua CCM ukiwa Dr. ni dili.
Hapa sasa napata jibu kwa nini wenzetu waislam wanasisitiza kina mama wavae mavazi ya heshima

Unashangaa nini? kama waziri wa michezo ladhima avae kimichezo
 
Back
Top Bottom