Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu dada ni mwafrika zaidi ndo mana anasuka nywele hizo,anapendeza!jaribu wewe kusuka hivyo uone!
hicho kijambakoti cha nini?
Hana watoto wa kumshauri avaeje?
Mnamwonea bure mama wa watu mwacheni afanye kazi...tukianza kujadili amevaa nini Twiga stars haifiki popote.
Binafsi sioni tatizo kabisa kwenye vazi lake zaizi ya watu kutafuta sababu ya kumjadili,
mawaziri kioo cha jamii wanavaa vizuri lakini baadhi yao ndo watuhumiwa wakuu wa ufisadi....sasa hapo ndo penye issue sio vazi alilovaa
Angeweka mpasuo kabisa awaharibie mwezi mzima mafisi; macho kodo kodo, ndimi nje nje mxm!
Mkuu pas pa pine ndio nini? SijaelewaWanawake hasa walioolewa wa sasa hawashauriki kabisa, hasa kwa suala la mavazi, angalia alivyo vaa, suka yake lol kama form six wa familia ya akina pasi pa pune!
A luta Continua!
Mkuu pasi pa pune ndio nini? SijaelewaWanawake hasa walioolewa wa sasa hawashauriki kabisa, hasa kwa suala la mavazi, angalia alivyo vaa, suka yake lol kama form six wa familia ya akina pasi pa pune!
A luta Continua!
CCM bwana....Mzee huyu nae anatuonyesha zana zake!
![]()
Aiseeee...e ! Waziri hadi bastola zimejichora.Mbaya zaidi Waziri huyu,Wizara yake ndiyo yenye DHAMANA YA KUSIMAMIA UTAMADUNI,sijui ni Utamaduni gani anasimamia huyu.
Yaani
waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele
ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo?
Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu
waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura
hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana
na rais.
Nakubaliana nawe mkuu, inawezekana uvaaji huu ni mojawapo ya sifa zilizomsaidia kuwepo hapo alipo, sasa akiacha si atapunguza sifa muhimu ambazo zinaweza kumpunguzia credit? Nani anataka hilo litokee? Nina hakika sio yeye mheshimiwa.
Kwako mheshimiwa, kama uko hapo kwa sababu ya umbo zuri ulilo nalo basi mwanakwetu usiacha, la upo hapo kwa uwezo wako kichwani, mavazi hayo hayakufai kwa hadhi uliyonayo sasa
Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.
hapana hizo ni puuu-mbu tuKaka! Je huo sio mshipa maji @ ngiri @ busha?
HUO MZIGO KAKA aka HANG-OVERKaka! Je huo sio mshipa maji @ ngiri @ busha?