halafu huyo afande wa kwanza kushoto macho na mawazo yanashabihiana na mawazo ya mtoa mada
Ila kukatia kiunoni kushuka chini yuko vizuri, hivi hana watoto wa kike huyu? Natamani niwaone hao maana si wanasema mtoto wa snake ni nyoka?
Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.

CCM bwana....Mzee huyu nae anatuonyesha zana zake!
Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.
Basi na mimi nayahitaji unisambazie hoku ngopyolo nahitaji kama lita ishirini hivi zinapatikana?Inamaanisha nina tenda ya kusambaza maziwa.
Including la kwako...Limekaa kulamba maharage ya wenzake tu.
halafu huyo afande wa kwanza kushoto macho na mawazo yanashabihiana na mawazo ya mtoa mada
Huyu ni waziri wa habari na michezo alafu ni Dr. si unajua CCM ukiwa Dr. ni dili.
Hapa sasa napata jibu kwa nini wenzetu waislam wanasisitiza kina mama wavae mavazi ya heshima