Sway bar inapunguza sana Roll hivyo kuimprove handling ya gari yako.Mimi sio fundi wa magari naomba mafundi muiweke vizuri hii statement. Naomba kujua kama kuna madhara ikiwa hio huduma itakuwa disconnected. Maana rafiki yangu ameitoa pia anasema gari yake inanesa zaidi kuliko ilivyokuwa mwanzo. Mimi nahisi kama sio salama kuondoa hio huduma. View attachment 2498576
Aisee! It's called anti roll bar for a reason. Hio gari itamtupa hataamini nini kimetokea.Mimi sio fundi wa magari naomba mafundi muiweke vizuri hii statement. Naomba kujua kama kuna madhara ikiwa hio huduma itakuwa disconnected. Maana rafiki yangu ameitoa pia anasema gari yake inanesa zaidi kuliko ilivyokuwa mwanzo. Mimi nahisi kama sio salama kuondoa hio huduma. View attachment 2498576
Yeye ndio anafurahi inavyonesa maana gari haisikii mashimoSway bar inapunguza sana Roll hivyo kuimprove handling ya gari yako.
Jamaa yako kaitoa ndio maana gari inanesa sana.
Kumwagwa loading...