Vehicle Sway Bar

Vehicle Sway Bar

ngofoman

Member
Joined
Jan 8, 2023
Posts
53
Reaction score
39
Mimi sio fundi wa magari naomba mafundi muiweke vizuri hii statement. Naomba kujua kama kuna madhara ikiwa hio huduma itakuwa disconnected. Maana rafiki yangu ameitoa pia anasema gari yake inanesa zaidi kuliko ilivyokuwa mwanzo. Mimi nahisi kama sio salama kuondoa hio huduma.
Screenshot_20230128-201528_Google.jpg
 
Mimi sio fundi wa magari naomba mafundi muiweke vizuri hii statement. Naomba kujua kama kuna madhara ikiwa hio huduma itakuwa disconnected. Maana rafiki yangu ameitoa pia anasema gari yake inanesa zaidi kuliko ilivyokuwa mwanzo. Mimi nahisi kama sio salama kuondoa hio huduma. View attachment 2498576
Sway bar inapunguza sana Roll hivyo kuimprove handling ya gari yako.

Jamaa yako kaitoa ndio maana gari inanesa sana.

Kumwagwa loading...
 
Mimi sio fundi wa magari naomba mafundi muiweke vizuri hii statement. Naomba kujua kama kuna madhara ikiwa hio huduma itakuwa disconnected. Maana rafiki yangu ameitoa pia anasema gari yake inanesa zaidi kuliko ilivyokuwa mwanzo. Mimi nahisi kama sio salama kuondoa hio huduma. View attachment 2498576
Aisee! It's called anti roll bar for a reason. Hio gari itamtupa hataamini nini kimetokea.
 
Aisee
Kuna mmoja alisema kuna mzee ana Land Rover haina breki wala clutch na anapeta nayo kichizi 🤣🤣🤣
 
Akili za kuambiwa changanya na zako. Breki, sawa haina, ila klach !!!!!! jiongeze mzee baba. Hata hizi za auto zenyewe zina clach ndani ya geabox.
 
Back
Top Bottom