Mimi sio fundi wa magari naomba mafundi muiweke vizuri hii statement. Naomba kujua kama kuna madhara ikiwa hio huduma itakuwa disconnected. Maana rafiki yangu ameitoa pia anasema gari yake inanesa zaidi kuliko ilivyokuwa mwanzo. Mimi nahisi kama sio salama kuondoa hio huduma.