Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Wakuu Kwema!
Wangapi mnamkumbuka Venance Shitindi?
Huyu jamaa alikuwa Kiboko, watu wengi walikuwa wakimkubali Sana Kwa misimamo yake isiyoyumbishwa, alitetea wanyonge wasinyongwe, alijihatarisha masomo yake Kwa ajili ya watu.
Taikon nilikuwa navutiwa na Siasa za huyu jamaa kipindi tunasoma pale Udsm. Yeye alikuwa mbele mwaka mmoja, miaka ya 2013-2016 alipohitimu.
Ndiye mwanaharakati wa mwisho kufanya maandamano makubwa katika Chuo kikuu cha Dar es salaam mwaka 2015, tangu hapo mpaka hivi leo hakuna maandamano mengine yaliyofanyika katika vyuo vikuu hapa nchini.
Alikuwa Waziri WA mikopo, semaji la wanafunzi.
Alipojikoroga ni kuyumba Kwa msimamo wake aliokuwa akiusimamia Kwa miaka mingi.
Alitoka CHADEMA na kujiunga na CCM kipindi cha Hayatti Magufuli.
Hapo ndio alipojikoroga akakorogeka.
Si ajabu ndio sababu hivi leo wengi watashangaa namzungumzia Nani, kwamba hawamjui.
Kwenye maisha msimamo ni kitu muhimu Sana hasa Kisiasa.
Taikon wa Fasihi ninawatakia Sabato NJEMA