Vera Sidika na Hamisa Mobetto hamjui kuimba fanyeni kitu kingine!!!

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Wadogo zangu Vera na Hamisa (wote wana miaka 20 ni wadogo zangu), hongereni kwa kujaribu kuimba, sio kwa ubaya ila hamjui kuimba dears, mziki mnaupenda ila wenyewe hauwapendi. Sauti zenu nyembambaa haziburudishi labda mkaimbe nyimbo za injili.

Kipaji cha kuimba hamna, mashairi mabovu yanayotokana na hisia tu Vera baada ya kuchoka kiben ten chake kaibuka na wimbo, Hamisa nae kuzaa huku na kule bila uelekeo na bado hawamuelewi kaibuka na wimbo. Vi nyimbo havina mbele wala nyuma

Sio lazma kila mtu aimbe wengine tubaki mashabiki, tuburudishwe na wenye vipaji vyao. Ni hayo tu.
 
Hao fani yao inaeleweka ...sasa huko kwenye muziki labda ni njia tu ya kuwavuta wanaume wengi kutoka pande zote za dunia wajue nini wanafanya then wanawaingiza sasa kwenye 'fani yao halisi'
 
Wadogo zangu Vera na Hamisa (wote wana miaka 20 ni wadogo zangu), hongereni kwa kujaribu kuimba, sio kwa ubaya ila hamjui kuimba dears, mziki mnaupenda ila wenyewe hauwapendi. Sauti zenu nyembambaa haziburudishi labda mkaimbe nyimbo za injili.

Kipaji cha kuimba hamna, mashairi mabovu yanayotokana na hisia tu Vera baada ya kuchoka kiben ten chake kaibuka na wimbo, Hamisa nae kuzaa huku na kule bila uelekeo na bado hawamuelewi kaibuka na wimbo. Vi nyimbo havina mbele wala nyuma

Sio lazma kila mtu aimbe wengine tubaki mashabiki, tuburudishwe na wenye vipaji vyao. Ni hayo tu.
Wanatumia fan base yao ya Instagram kufanya Mziki......Hawana Vipaji bali wanataka kujirecord video ndefu kwenye muziki maana za insta zina max 60s
 
Wadogo zangu Vera na Hamisa (wote wana miaka 20 ni wadogo zangu), hongereni kwa kujaribu kuimba, sio kwa ubaya ila hamjui kuimba dears, mziki mnaupenda ila wenyewe hauwapendi. Sauti zenu nyembambaa haziburudishi labda mkaimbe nyimbo za injili.

Kipaji cha kuimba hamna, mashairi mabovu yanayotokana na hisia tu Vera baada ya kuchoka kiben ten chake kaibuka na wimbo, Hamisa nae kuzaa huku na kule bila uelekeo na bado hawamuelewi kaibuka na wimbo. Vi nyimbo havina mbele wala nyuma

Sio lazma kila mtu aimbe wengine tubaki mashabiki, tuburudishwe na wenye vipaji vyao. Ni hayo tu.
Ni kweli....
 
Back
Top Bottom