Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue ni kuimba au kupata hela? Wewe ukiambiwa uimbe upewe 10m utakataa?Ukisema ukweli unaambiwa hater. Hamisa kuimba ni sifuri
Leo tunaongelea vipaji vyao. Kesho tutaongelea mapatoIssue ni kuimba au kupata hela? Wewe ukiambiwa uimbe upewe 10m utakataa?
No Mrs sa ingine tuwaze nje ya box .maisha hayana formular ni kupambana tuLeo tunaongelea vipaji vyao. Kesho tutaongelea mapato
Yes kupambana lakini penye ukweli pasemwe.No Mrs sa ingine tuwaze nje ya box .maisha hayana formular ni kupambana tu
Maisha hayako perfect. Hakuna kilicho perfect Mrs!Yes kupambana lakini penye ukweli pasemwe.
Acha dhambi bna .ila misa anaokoteza mihela kweli ndo maana nampenda
Sijasema mambo ya kipato, hamisa na vera hawajui kuimba that's all!!!Issue ni kuimba au kupata hela? Wewe ukiambiwa uimbe upewe 10m utakataa?
Simpathy ambazo hata hazina kichwa wala miguu ukweli utabaki hawajui kuimba.Maisha hayako perfect. Hakuna kilicho perfect Mrs!
Anajua basi tu ubishiYes kupambana lakini penye ukweli pasemwe.
HahahaHii nchi watu huwa wanaona kila kitu ni rahisi tu. Uimbaji ni kipaji na kama huna utakuwa kama Harmorapa.
Simpathy ambazo hata hazina kichwa wala miguu ukweli utabaki hawajui kuimba.
Tangu kuzaliwa kwangu sijawahi kusikia wimbo mbaya zaidi ya wimbo mpya wa Hamisa Mobeto. Uuuuuwiiii ukisikiliza unaweza kuchukia muziki jumla.
Nadhani hawana lengo LA kuwa waimbaji ila wanatafuta wawe topic kwenye media na kuzidi kuwa maarufu watoto wa mjini wenyewe Wanaita kutafuta "kiki"
min -me za masiku?Wimbo wake mbaya ila video nzuri