Vera Sidika na Hamisa Mobetto hamjui kuimba fanyeni kitu kingine!!!

Vera Sidika na Hamisa Mobetto hamjui kuimba fanyeni kitu kingine!!!

Mziki kuna kuimba lakini unaimba kitu gani pia. Ningewaona wa maana mngemshauri Hamisa akapata mwalimu wa muziki akamrekebisha kidogo sauti. Yaani nyiye mnataka tu wakle wnye kukurupuka na kuimba Nyegezi , akifanya practice atazidi kuimprove. Unanikumbusha dada mmoja nilipomwambia mimi naandika kitabu eti dah , BAKITA watakufungia nikasema Whaat! Nikaandika sasa hivi nakula tu royalty yangu. Ukiwafuata watanzania utabaki hapo hapo ulipo. Hamisa is a fighter na atafika mbali!
Hahahhahahahhahaha mbali mbinguni si kwa king'ora kileee 😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Wadogo zangu Vera na Hamisa (wote wana miaka 20 ni wadogo zangu), hongereni kwa kujaribu kuimba, sio kwa ubaya ila hamjui kuimba dears, mziki mnaupenda ila wenyewe hauwapendi. Sauti zenu nyembambaa haziburudishi labda mkaimbe nyimbo za injili.

Kipaji cha kuimba hamna, mashairi mabovu yanayotokana na hisia tu Vera baada ya kuchoka kiben ten chake kaibuka na wimbo, Hamisa nae kuzaa huku na kule bila uelekeo na bado hawamuelewi kaibuka na wimbo. Vi nyimbo havina mbele wala nyuma

Sio lazma kila mtu aimbe wengine tubaki mashabiki, tuburudishwe na wenye vipaji vyao. Ni hayo tu.
Huu ushauri wakiufanyia kazi utawasaidia sana.
 
Nyie mnawasema hawajui kuimba we zenu wanaingiza pesa kwa youtube. Wanajuwa kutumia umaarufu wao kwa kutengeneza pesa haijali Wanajuwa au hawajuwi. Hao wenye kujuwa hamu show support kwao. Hii Dunia bila ya unafiki haikwendi
Hivi alikiba Na sauti yake Kali wabongo wangapi huwa wananunua kazi zake eti? Bora hamisa analipwa zake Na you tube na kumake headline kutengeneza pesa.
Mimi namkubali tu hamisa.anajua kutumia fursa.wanataka akae kama wema waanze kumcheka.Mimi namshauri hamisa agombee Na ubunge kabisa
 
Ila tafadhali Hamisa, huyo Vera dah ana sauti mbaya, sijui akiwa analalamika kitandani si anakuwa kama dume.
 
Tangu kuzaliwa kwangu sijawahi kusikia wimbo mbaya zaidi ya wimbo mpya wa Hamisa Mobeto. Uuuuuwiiii ukisikiliza unaweza kuchukia muziki jumla.
Nyimbo ni mbovu balaaa sijui hao maproducers walikubali vipi kuachia ngoma mbovu kama hiyo
 
Back
Top Bottom