Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,439
- 1,962
Dah pole sana. Nyimbo za Hamisa nzuri sanaaaaaa! mashibiki wake tunazipendaaaaa. Poleni mnaopenda ooh kikaja kikafika kikaondoka. MAudhui ZERO.Wadogo zangu Vera na Hamisa (wote wana miaka 20 ni wadogo zangu), hongereni kwa kujaribu kuimba, sio kwa ubaya ila hamjui kuimba dears, mziki mnaupenda ila wenyewe hauwapendi. Sauti zenu nyembambaa haziburudishi labda mkaimbe nyimbo za injili.
Kipaji cha kuimba hamna, mashairi mabovu yanayotokana na hisia tu Vera baada ya kuchoka kiben ten chake kaibuka na wimbo, Hamisa nae kuzaa huku na kule bila uelekeo na bado hawamuelewi kaibuka na wimbo. Vi nyimbo havina mbele wala nyuma
Sio lazma kila mtu aimbe wengine tubaki mashabiki, tuburudishwe na wenye vipaji vyao. Ni hayo tu.