Vera Sidika na Hamisa Mobetto hamjui kuimba fanyeni kitu kingine!!!

Vera Sidika na Hamisa Mobetto hamjui kuimba fanyeni kitu kingine!!!

Kila nikijaribu kusikiliza wimbo wa mobeto naishia ku pause tu. kelele zinazoumiza masikio nyimbo mbaya hakuna.
 
Wengi wanawatetea kuwa wanatumia fan base ya vizuri.

Honesty bora vera sababu hio ina mashiko kwake sababu ana pesa za kutosha baada ya kudanga sana

Sasa mwenzangu na mie pugi,pesa hana kapata ka show kidogo huko marekani keshaenda tumia kutafutia kiki..akifulia ataanza pitisha bakuli kwa misukule yake.
 
Wadogo zangu Vera na Hamisa (wote wana miaka 20 ni wadogo zangu), hongereni kwa kujaribu kuimba, sio kwa ubaya ila hamjui kuimba dears, mziki mnaupenda ila wenyewe hauwapendi. Sauti zenu nyembambaa haziburudishi labda mkaimbe nyimbo za injili.

Kipaji cha kuimba hamna, mashairi mabovu yanayotokana na hisia tu Vera baada ya kuchoka kiben ten chake kaibuka na wimbo, Hamisa nae kuzaa huku na kule bila uelekeo na bado hawamuelewi kaibuka na wimbo. Vi nyimbo havina mbele wala nyuma

Sio lazma kila mtu aimbe wengine tubaki mashabiki, tuburudishwe na wenye vipaji vyao. Ni hayo tu.
Acha waendelee kuimba hata kama hawajui. Usiwakatishe tamaa. Kila mtu afanye kwa aonacho ni sahihi kwake. Wewe kama hupendi wenzako watapenda nyimbo zake.
 
Wabongo tunapenda kuchukulia mambo simple saaaaana!.. yaani siku hizi mobeto eti ni msanii!...
 
Back
Top Bottom