Vera Sidika na Hamisa Mobetto hamjui kuimba fanyeni kitu kingine!!!

Kila nikijaribu kusikiliza wimbo wa mobeto naishia ku pause tu. kelele zinazoumiza masikio nyimbo mbaya hakuna.
 
Wengi wanawatetea kuwa wanatumia fan base ya vizuri.

Honesty bora vera sababu hio ina mashiko kwake sababu ana pesa za kutosha baada ya kudanga sana

Sasa mwenzangu na mie pugi,pesa hana kapata ka show kidogo huko marekani keshaenda tumia kutafutia kiki..akifulia ataanza pitisha bakuli kwa misukule yake.
 
Acha waendelee kuimba hata kama hawajui. Usiwakatishe tamaa. Kila mtu afanye kwa aonacho ni sahihi kwake. Wewe kama hupendi wenzako watapenda nyimbo zake.
 
Wabongo tunapenda kuchukulia mambo simple saaaaana!.. yaani siku hizi mobeto eti ni msanii!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…