VERIFIED COMMENT: Shomari Kapombe amepata mbabe katika mbavu ya kulia

VERIFIED COMMENT: Shomari Kapombe amepata mbabe katika mbavu ya kulia

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Twende SAwa na fact Juu.

Shomari Kapombe amepata mbabe katika mbavu ya kulia.

Tunakiri kuwa Kapombe amekuwa tunu ya taifa na ana uwezo mkubwa mno kama beki wa kulia.

Ila huyu Djuma Shabani ni daraja lingine kabisa na uwezo wake ni funzo kwa mabeki wengi katika ligi kuu Tanzania.

CHUKUA HII TOKA KWANGU

For the love Game

Screenshot_20220409-102959.jpg
 
Chama mech 4goal 8 Mayele mechi 25 goal10
 
Kwangu mimi Shomar Kapombe ni bora zaidi
 
Sawa utopolo mna team nzuri sana saaana mpaka nawaonea wivuuu. Lkn mkumbuke kule nje Namungo kawazidi viwango.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wataanza kupovukwa hapa.
 
Back
Top Bottom