Verified couples....

Dokta kauli yako tata sana hii...

naona bibie ana wasiwasi na mimi labda naweza mbebea mchuchu wake lol!!!!!!!!!

Hebu mwambie mimi huwa na tibu tu wala siwachukulii waume zao
ila nikiwezeshwa ninaweza hahahahahahaaa!!!!!!!!!!!
 
Lady doctor si uguswe tu na roho wa bwana tuwe verified
 
Last edited by a moderator:
naona bibie ana wasiwasi na mimi labda naweza mbebea mchuchu wake lol!!!!!!!!!

Hebu mwambie mimi huwa na tibu tu wala siwachukulii waume zao
ila nikiwezeshwa ninaweza hahahahahahaaa!!!!!!!!!!!

Mi niliogopa sana ulivyosema utambeba hadi yeye..
 
naona umenikosa mimi
unataka kumrubuni my sisy First lady
watoto wa watu8 tumefundwa tukafundika atiii!!
 
Last edited by a moderator:

heheheiyaaaaaa!!swaiba baeleze

lazima ni baelezee bajue.... Hapana chezeiya hii chata kabisa
me ni mutu ya mbele bana......... Hahahahahahaaa wapi Chimbuvu.

**shost Chimbuvu ananipa jeuri mbayaaaaa, jamaa ana hela si kitoto, yaani nimekuwa bonge moja la pedeshee la kike lakini si rushi fweza lol!!!!**
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…