Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lady furahia upo?
Usiwe unaogopa talaka,
Ukiachika ndo unakuwa na ekspriensi ya ndoa,
Mie kila nikipewa talaka nyota yangu inazidi kung'aa,
aisee umenichekesha sana! hapo kwenye shelisheli.
anafanya mambo ki hip hop..
ila hiyo kauli ya huwezi ishi bila yeye ifute bana
nahisi nimerogwa, where is Katavi na mzee wa sumbawanga???
mimi huwa nawasha kwenye mwili wa binadamu nikikudondokea lazima utafurahi,kama wanavyofurahi wake za watu.hiyo Washawasha yako ni ya aina gani?
kuwasha taa..
kuwasha gari..
kuwasha mwili...
.....
niambie unawashawasha nini afu nikupe bonge la suggestion ambalo litakufaa sana mtu wangu!!
mke wangu wa pekee wewe.