nahisi nimerogwa, where is Katavi na mzee wa sumbawanga???
Bado naangalia hapa katika tv yangu ya asili sioni tatizo lolo,,,,,,ebu ngoja kwanza naona.......aaah!! Hamna kitu itakuwa ni upendo tu....
hivi nini maana ya neno bestito? is it useful hata kwe ME gender?
Wana CC, mko poa?
Heshima kwenu...
Kuna mambo yanaendelea hapa sijaelewa elewa ati.. Ukianzia na haya ya Eda ya Mamndenyi, source hapa ni Arushaone!
Afu kuna ishu ya Mr. Rocky na Dena
nikaona tena na Bishanga kutaka kumwachia The secretary Vichanga sijui alee na nani...
Mambo ni mengi kweli kweli..
Hebu tufanyeni verification ya couples wa humu ndani ili mambo yaende sawa!
Zitakazokuwa verified ni zile za mmoja mmoja! Wake wadogo wakae pembeni kwanza..
Mwenyekiti Baba V, naomba uunde kamati huru kwa ajili ya hili..
Ianze na mimi
Kiwatengu and shansarie >> Verified Couple...
Mtiririko uendelee sasa..
....za siku?
Wewe huna mtu huku? mimi itabidi nitafute chombo kipya maana naona kuna damu changa sanaHeeeeeeh kweli couples mmmh, haya bhanaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wote wamewahiwa huku, so kuwa mpoleeeeeeh tyuuuhWewe huna mtu huku? mimi itabidi nitafute chombo kipya maana naona kuna damu changa sana
Kijana tayari ninae huku mama ako, sasa iv nahitaji dogo dogo wa kumsaidia kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wote wamewahiwa huku, so kuwa mpoleeeeeeh tyuuuh
Hongera sanaaaaaahKijana tayari ninae huku mama ako, sasa iv nahitaji dogo dogo wa kumsaidia kazi