Verified couples....

Verified couples....

Bado naangalia hapa katika tv yangu ya asili sioni tatizo lolo,,,,,,ebu ngoja kwanza naona.......aaah!! Hamna kitu itakuwa ni upendo tu....

asante sana kwa kuniondoa hofu nilifikiri tayari nimeshapigwa juju la 'mahaba niue'
 
jamani bestito wataka kujua maana ya bestito ati?
BESTITO ni msemo ambao nimeuvumbua na kuutumia kwa wanadamu
maana yake ni kuwa best yako yule wa karibu hata wa mbali kidogo nawe
Hilo neno linatumika kwa jinsia zote ME na KE hivyo usihofu nikikwambia
kuwa wewe ni BESTITO wangu sana kwa sana
hivi nini maana ya neno bestito? is it useful hata kwe ME gender?
 
huna jingine jipya kuhusu bestito ?
Wana CC, mko poa?
Heshima kwenu...
Kuna mambo yanaendelea hapa sijaelewa elewa ati.. Ukianzia na haya ya Eda ya Mamndenyi, source hapa ni Arushaone!

Afu kuna ishu ya Mr. Rocky na Dena
nikaona tena na Bishanga kutaka kumwachia The secretary Vichanga sijui alee na nani...

Mambo ni mengi kweli kweli..
Hebu tufanyeni verification ya couples wa humu ndani ili mambo yaende sawa!

Zitakazokuwa verified ni zile za mmoja mmoja! Wake wadogo wakae pembeni kwanza..

Mwenyekiti Baba V, naomba uunde kamati huru kwa ajili ya hili..

Ianze na mimi

Kiwatengu and shansarie >> Verified Couple...

Mtiririko uendelee sasa..
 
Wewe huna mtu huku? mimi itabidi nitafute chombo kipya maana naona kuna damu changa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wote wamewahiwa huku, so kuwa mpoleeeeeeh tyuuuh
 
Back
Top Bottom