Verified couples....

Verified couples....

Baada ya kuchambua rasimu ya katiba napita huku kusafisha kope zangu maana ni jukwaa la burudani..Kaka Bishanga na Wakili Ruta salaaaam

sasa wewe Ben Mugashe hii sentensi yako na kuni quote wapi na wapi auu ulitaka nikuone tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkishaenea wote, nami mnitafutie wale ambao wapo wapo tu!
 
...nilikupenda kimapenzi soremba eee ila dharau uli.....
 
haya sumbuaneni..... Ngoja nimtafute Arushaone kokote alipo nimsumbue

wewe ruka ruka tu, siku ukichoka utarudi mwenyewe siku hiyo utakuta safina imejaa nawe utaita kwa uchungu slaaave ! Slaaave! Nifungulie ninaangamia nami nitasema sikufunga mimi kafunga Evelyn Salt na Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
wewe ruka ruka tu, siku ukichoka utarudi mwenyewe siku hiyo utakuta safina imejaa nawe utaita kwa uchungu slaaave ! Slaaave! Nifungulie ninaangamia nami nitasema sikufunga mimi kafunga Evelyn Salt na Mamndenyi

we ndio unayenifanya nirukeruke nilisha kukataza tabia ya kuoaoa lakini hukusikia ndio kwanza unamuita Mamndenyi bila aibu, mimi sitoweza kuvumilia ndoa ya namna hiyo bora nitafute wangu peke yangu
 
Last edited by a moderator:
we ndio unayenifanya nirukeruke nilisha kukataza tabia ya kuoaoa lakini hukusikia ndio kwanza unamuita Mamndenyi bila aibu, mimi sitoweza kuvumilia ndoa ya namna hiyo bora nitafute wangu peke yangu

mie nilichanjiwa mmoja hanitoshi angalau wawili, chagua mnyonge wako kati ya hao wawili mmoja nitupe kapuni,
 
Back
Top Bottom